Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

Exposure ya Diamond ni ndogo, anahisi hapa Tanzania ana pesa nyingi, kumbe kuna watu

C
Diamond plutnumz amethubutu kusema kuwa ana ndoto ya kuwa tajiri namba moja Duniani, na Si Africa, Wala East Africa Wala Tanzania.

Diamond anatengeneza pesa nyingi, lakini nadhani kwasababu ya exposure yake ni ndogo anahisi yeye ni kati ya watu 1,000 Tanzania wanaotengeneza pesa nyingi.

Nimwambie Diamond pesa alizonazo au anazoingiza ni kidogo sana ukilinganisha na matajiri wengi hapa Tanzania. Hivyo vimilioni 300 anavyopata kupitia endorsement ni ndogo, nchi hii kuna watu Wana Hela mbwa haruki.

Nataka nimwambie Diamond, afanye utafiti mdogo tu, atagundua kuwa hata katika matajiri 10,000 Tanzania yeye hayupo, hana biashara yoyote ya maana, media sio biashara ya kujitambishia utajiri, kuuza mziki si biashara ya kujitambishia utajiri nchi hii, pesa za matangazo si biashara ya kujitambishia utajiri.

Unaweza kuwa mwanamuziki tajiri Tanzania sawa kwakuwa wasanii wengi ni choka mbaya, hata Mimi mwenye utajiri wa bilioni 2 wasanii wengi kama kina Whozu nawapita utajiri.

Hivyo kwenye suala la pesa yeye bado ni mtoto mdogo, na muda wowote anaweza kufulia kwakuwa Hana vyanzo sustainable vya mapato.
Chaiiiii we ni fala ndugu yangu falaaaa
 
mtoa mada yupo sahihi ,ili mtu uwe tajiri kuzidi wengine kuna mambo mengi ya kuangalia...nayaelezea
1: level ya uchumi wa nchi uliyopo ..hii ina maana kuwa level ya uchumu wa tz inabidi iwe inaendana na uchumi wa dunia ya ulimwengu wa kwanza...hii ina maana awapite matajiri wote tz kama kina mo,bakhresa na wengineo ndo anaweza kuanza kuota ndoto za namna hii
2:aina ya kazi anayofanya,matajiri wengi duniani wanadeal na teknolojia sasa yeye sidhan kama ana ishu yoyote ya kiteknolojia anayojihusisha nayo
3:race yake....hapa kwa kuwa yeye ni mtu mweusi tena wa afrika ya mashariki ni ngumu watu weupe kumruhusu awe tajiri kuliko wao na wanaweza kumhujumu kwa namna yoyote asiingie kwenye list ya matajiri wa dunia japo 10 bora.nafkiri hii ni sera waliiweka wazungu kuzuia race zingine zisifanikiwekuwazidi wao...
4:elimu ...japo hii sababu haina mashiko sana kwenye utajiri wa mtu lakin ukiangalia matajiri wengi wana elimu angalau ya chuo kikuu...wachache chini ya hapo.sasa mwenzangu diamond nadhan ni form 4 na sidhan kama ana mpango wa kujiendeleza maana ukishakuwa na hela suala la kukaa chini kusoma inakuwa mtihani.
sababu zingine wadau watajazia nyama
Some how
 
Back
Top Bottom