Express shipping from China to Tanzania, every week

Express shipping from China to Tanzania, every week

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Habari Boss[emoji3575]. Kampuni ya Sabour Express Cargo Trading Ltd.
Tunakukumbusha ndugu mteja tunaendelea na ukusanyaji wa mizigo ya kawaida(express) katika warehouse zetu china[emoji630]
Ndege huondoka China kuja Tanzania mara mbili kwa kila wiki.
Hivyo basi mpatie supplier wako address yetu tukusafirishie kwa haraka na gharama nafuu.

Our Tanzania Address
Kariakoo Dsm Livingstone /Tandamti Street , Building number 57
2nd floor
Phone number +255 655 877 507

OUR CHINA ADDRESS

SABOUR EXPRESS CARGO, TRADING LTD

广州市越秀区麓景路6号广福国际商贸城二楼207档
TASHY +8617076661296

IMG_20230908_172411_487.jpg
 
Mkuu dola kumi kwa kilogramu au mimi naona vibaya, na mzigo utachukua muda gani kunifikia.
Na maswala ya TRA inakuwaje utaratibu.
Mzigo Usio na sumaku maji maji wala battery unachukua siku 5-7 kuupata
Note: Ndege ikitoka Guangzhou hutumia masaa 11 kufika Tanzania.
Pia tunawafanyia custom clearance
 
Wewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
 
Back
Top Bottom