Express shipping from China to Tanzania, every week

Mkuu samahani kwa usumbufu ila naomba unielekeze namna ya kuset ifanye hivo, auyomatic translation, na ikiwezekana nipe na link za soko hata moja la ndani ya china.
Hufanyi chochote mkuu, ukiwa na chrome ukiingia website ambayo sio ya kingereza kwa chini inatokea sehemu ya Auto translation kama isipotokea click menu pale juu chagua translate. Soko ni JD mkuu, ukigoogle tu mfano JD xiaomi redmi note 12 turbo inakuja.
 
Shukrani sana mkuu.
 
Kama unanunua mwenyewe direct dola 1 ni vile vile around 2300-2400 dola haijapanda imekua tu ngumu kuipata.
Ila mkuu hizi kampuni za shipping wamepandisha, kwa mfano unique walikuwa wana exchange malipo yetu kwa Tsh 2390 kama sikosei wakati wa kupokea mzigo, Saizi wana exchange kwa tsh 2610 hv

Na maanisha kama nikiagiza cbm leo ikawa ni dola 400, wao wana bei za kuexchange ile usd 400, sasa saiz ndio wana exchange kwa 2600 plus
 
Exchange rate saizi sio chini ya 2500,kwaiyo utalipia current exchange rate ,juzi nimeenda takers wakachukua 2500 per usd,nikapitia unique pale wakachukua kama 2614 hivi per usd,so tukae humo humo tu

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ila mkuu hizi kampuni za shipping wamepandisha, kwa mfano unique walikuwa wana exchange malipo yetu kwa Tsh 2390 kama sikosei wakati wa kupokea mzigo, Saizi wana exchange kwa tsh 2610 hv

Na maanisha kama nikiagiza cbm leo ikawa ni dola 400, wao wana bei za kuexchange ile usd 400, sasa saiz ndio wana exchange kwa 2600 plus
Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,

Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
 
Wewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
Ndio naukumbuka uzi wake yule jamaa.
 
Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,

Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Mkuu samahani hizi vitual mastercard za mitandao ya simu zinasaporti online transaction?
 
Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,

Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Nafikiri anaongelea fees za kusafirisha mzigo,hapo ndio agent utamlipa kwa rate yake mwenyew atayokutajia,mfano hao unique rate ni 1600 saizi, hivyo shipping cost zitakua calculated kutokea hiyo 2600.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,

Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Mkuu hii kununua mzigo mkubwa mie nilishashindwa kukwepa charges. Inabdi tu maana options zinakuwa ngumu, kuna muda seller anakupa bank details ulipie bank moja kwa moja ila unakuwa unaogopa kupigwa inabidi kama ni Alibaba utumie platform yao, unachanjwa pesa si mchezo.

Mara moja nolibahatika kuweka pesa kama milioni 4 hivi kwenye Alipay, aisee niliinjoy sijawahi ona, ilikuwa easy na makato ya chini kabisa. Hapo vitu vyote kule Pinduo na Taobao nilikuwa nachota tu na makato ni F.
Baada ya hapo mizigo mokubwa naumia tu.

Kati hapa nilileta tiles za kama mil 10 hivi. Nililipa kwa Mpesa[emoji1]
 
Wewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
Mm ni mkweli na nishaanza kufanya Kazi na Baadhi ya members humu ndani
 
Back
Top Bottom