Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Translator zimejaa kibao mkuu, kama Chrome ina translate Automatic.mkuu kwenye hizo sites za china, mnapambanaje na language barrier.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Translator zimejaa kibao mkuu, kama Chrome ina translate Automatic.mkuu kwenye hizo sites za china, mnapambanaje na language barrier.
Kama unanunua mwenyewe direct dola 1 ni vile vile around 2300-2400 dola haijapanda imekua tu ngumu kuipata.Dola moja kwasasa mna exchange kwa shilingi ngapi ili niwa jaribu
Mkuu samahani kwa usumbufu ila naomba unielekeze namna ya kuset ifanye hivo, auyomatic translation, na ikiwezekana nipe na link za soko hata moja la ndani ya china.Translator zimejaa kibao mkuu, kama Chrome ina translate Automatic.
Hufanyi chochote mkuu, ukiwa na chrome ukiingia website ambayo sio ya kingereza kwa chini inatokea sehemu ya Auto translation kama isipotokea click menu pale juu chagua translate. Soko ni JD mkuu, ukigoogle tu mfano JD xiaomi redmi note 12 turbo inakuja.Mkuu samahani kwa usumbufu ila naomba unielekeze namna ya kuset ifanye hivo, auyomatic translation, na ikiwezekana nipe na link za soko hata moja la ndani ya china.
Shukrani sana mkuu.Hufanyi chochote mkuu, ukiwa na chrome ukiingia website ambayo sio ya kingereza kwa chini inatokea sehemu ya Auto translation kama isipotokea click menu pale juu chagua translate. Soko ni JD mkuu, ukigoogle tu mfano JD xiaomi redmi note 12 turbo inakuja.
Ila mkuu hizi kampuni za shipping wamepandisha, kwa mfano unique walikuwa wana exchange malipo yetu kwa Tsh 2390 kama sikosei wakati wa kupokea mzigo, Saizi wana exchange kwa tsh 2610 hvKama unanunua mwenyewe direct dola 1 ni vile vile around 2300-2400 dola haijapanda imekua tu ngumu kuipata.
Exchange rate saizi sio chini ya 2500,kwaiyo utalipia current exchange rate ,juzi nimeenda takers wakachukua 2500 per usd,nikapitia unique pale wakachukua kama 2614 hivi per usd,so tukae humo humo tuIla mkuu hizi kampuni za shipping wamepandisha, kwa mfano unique walikuwa wana exchange malipo yetu kwa Tsh 2390 kama sikosei wakati wa kupokea mzigo, Saizi wana exchange kwa tsh 2610 hv
Na maanisha kama nikiagiza cbm leo ikawa ni dola 400, wao wana bei za kuexchange ile usd 400, sasa saiz ndio wana exchange kwa 2600 plus
Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,Ila mkuu hizi kampuni za shipping wamepandisha, kwa mfano unique walikuwa wana exchange malipo yetu kwa Tsh 2390 kama sikosei wakati wa kupokea mzigo, Saizi wana exchange kwa tsh 2610 hv
Na maanisha kama nikiagiza cbm leo ikawa ni dola 400, wao wana bei za kuexchange ile usd 400, sasa saiz ndio wana exchange kwa 2600 plus
Ndio naukumbuka uzi wake yule jamaa.Wewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
Mkuu samahani hizi vitual mastercard za mitandao ya simu zinasaporti online transaction?Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,
Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Nafikiri anaongelea fees za kusafirisha mzigo,hapo ndio agent utamlipa kwa rate yake mwenyew atayokutajia,mfano hao unique rate ni 1600 saizi, hivyo shipping cost zitakua calculated kutokea hiyo 2600.Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,
Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Lete mawasiliano yao mkuuTanzua Express tu ndo wa kuamini katika kazi hizi
Hapa nimeelewa.Nafikiri anaongelea fees za kusafirisha mzigo,hapo ndio agent utamlipa kwa rate yake mwenyew atayokutajia,mfano hao unique rate ni 1600 saizi, hivyo shipping cost zitakua calculated kutokea hiyo 2600.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ndio zinakubali mkuu.Mkuu samahani hizi vitual mastercard za mitandao ya simu zinasaporti online transaction?
Ndio zinakubali, Ila tambua rate ya dola hufikia 2,700Mkuu samahani hizi vitual mastercard za mitandao ya simu zinasaporti online transaction?
mkuu kwani wao wanakata tofauti na rate iliyopo...!?, af mbona AliExpress vitu bei iko vile vile.Ndio zinakubali, Ila tambua rate ya dola hufikia 2,700
Ni vyema ukapata kadi ya benki
Angalia hapa | Leo dola moja ni sawa na 2290. Kweli uchumi unakuwa
ni tapeli yuleNdio naukumbuka uzi wake yule jamaa.
Mkuu hii kununua mzigo mkubwa mie nilishashindwa kukwepa charges. Inabdi tu maana options zinakuwa ngumu, kuna muda seller anakupa bank details ulipie bank moja kwa moja ila unakuwa unaogopa kupigwa inabidi kama ni Alibaba utumie platform yao, unachanjwa pesa si mchezo.Ndio sababu wao wananunua dola kienyeji kama sisi, ila ukitumia kampuni kubwa kufanya malipo kamq hizi Mastercard za kina Tigo charging ni zile zile,
Sema kama unanunua mizigo mikubwa kwa mamilioni imekula kwako.
Mm ni mkweli na nishaanza kufanya Kazi na Baadhi ya members humu ndaniWewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.