Express shipping from China to Tanzania, every week

Express shipping from China to Tanzania, every week

Wewe utakuwa mkweli? maana kuna jamaa humu alikuwa anajitangaza kama operation manager wa fago express nikawasaliana nae lakini ilibidi nifatilie kwa undani kabla sijaagiza mzigo kumbe jamaa hata hafanyi kazi hapo fago express na address ya china aliyonitumia sio ya fago express.
Asante Mkuu kwa kutuamini na kusafirisha na sisi, God bless you
 
Pia asante kwa Wana jamiiforum wengine mliosafirisha na sisi (nilikuwa mnanipa mrejesho kuwa mmeona tangazo JF) ,Nawashukuru sana .
Nilichojifunza Ni kuwa JF ina watu wazito , na wengine Ni baba/mama Zetu kabisa, so unapo reply messages Za, watu humu,reply kwa heshima.
Thank you all
 
Asante Mkuu kwa kutuamini na kusafirisha na sisi, God bless you
Na mimi nashukuru mzigo wangu umefika uko vizuri ndani ya muda mfupi.kuna mwingine alikuja kutangaza hapa kama wewe lakini kaishia kutapeli watu.
 
Pia asante kwa Wana jamiiforum wengine mliosafirisha na sisi (nilikuwa mnanipa mrejesho kuwa mmeona tangazo JF) ,Nawashukuru sana .
Nilichojifunza Ni kuwa JF ina watu wazito , na wengine Ni baba/mama Zetu kabisa, so unapo reply messages Za, watu humu,reply kwa heshima.
Thank you all
sasa mkuu mbona mna majina mawili...flamingo na sabour??

nani ni nani!?

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali mpatie supplier wako address hii
IMG-20231030-WA0029.jpg
 
Ratiba ya wiki hii
Calls/Whatsapp +255 655 877 507
IMG-20231107-WA0028.jpg
 
Ongera Sana kwa mapambano, Ndugu zangu, najua china inatupa bidhaa nyingi Sana na sie tunachuuza hapa bongo maisha yanaenda,but let me be blunt as brutal as it is necessary, wanaofaidika Sana kwa hii trade ni viwanda vya china, hv ndege ngapi zinatoka hapa bongo kwenda china na bidhaa za viwandani, (swali kwa ccm)! Kuna wafanyabiashara kutoka Zambia huja hapa bongo kununua bidhaa kariakoo, vitu kama nguo nk, lakini bidhaa nyingi hazijazalishwa bongo, hapa ni kama gulio tu la mchina!
Nimesafili na wafanyabiashara wengi kutoka Zambia kuja bongo, kwanza hakuna ndege ya air tz kutoka Zambia, wanapita Kenya, au Ethiopia, then bongo, Ila kenge wa ccm wnachojua ni kujenga airport chato! Na kusherehekea birthday ya mkoa!
Hata ile centre inayojengwa pale ubungo, stend kuu ya zamani, haitakuwa na faida kwa viwanda vya ndani(havipo,hata chereani tatu zinatoka nje), lile Lita kuwa gulio la bidhaa kutoka viwanda vya china, ni kama extension tu, watakuwa wamerahisisha baada ya kwenda china, utanunua hapa hapa bongo, ni kama kariakoo ya mchina ndani ya East Afrika!
 
Back
Top Bottom