Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Nampenda sana mtu aitwa HP1 Lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
warumi bana ha ha ha maneno yake tu natamani nipange appointment nimdeku
baadhi ya maneno yake ambayo huwa sisahau " mna nikatisha tamaa naenda mbali kuwatafutia umbea halafu mna sema nacopy" dah huwa sisahau mie. " nachungulia madirishani kwa watu ilimradi tu niwape umbea"
haya jana kalala msibani ili apate news ha ha ha mbavu zangu mie
 
Last edited by a moderator:

We nimekuweka kiporo cha malovee mpaka ntakapokuwa daktare. Potelea mbali hata kama ntakuwa daktare wa mifugo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…