Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Wakuu mi kuna mwanaJF anaitwa charty kwakwel i real love and adore her even though sijawah kumuona lakin ananinyima raha kila napoona posts zake humu.

Cc: charty
 
Last edited by a moderator:
Kibo10, Kibo10, Kibo10 huyo mfanyakazi wako ICHANA ni shem wangu,,hope hautatumia advantage ya kuwa bosi!!
Cc Mokoyo

Asante shem hilo mzee kibo10 analijua
Uwajibikaj wangu na uaminifu kwenye kazi bila kusahau kujituma vyoote ni kwasababu ya kumpata mume wangu kipenzi Mokoyo
Ananileta job na jion anakuja kunichukua ananipa upendo wa kipekee.
I love my hubby with all of
my heart no one like him.
 
Last edited by a moderator:
Oooooooooooooh Amicus Curie...........Te quiero Mucho
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa, Kibo10,,unasema ni mtundu eheee??Itabidi nije kufanya kazi hapo,tena bure bila mshahara!

Makubwa embu muulize vizuri
Mm mtundu kwa kipi
Itabid nije na mume wangu kazin haya maneno mazito kwa kweli
 
Last edited by a moderator:
Nawapenda wote ambao kila post wao wanatukana wenzao tu. Hawakujui, huwajui wao matusi kwa kwenda mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…