Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Ha ha ha utatuma kwangu
Mm ndo sales manager
Express unayempenda kwanza

ooh my God sa mbn itakua barua yako ya uchumba sasa na si ya house girl aisee
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Asante shem hilo mzee kibo10 analijua
Uwajibikaj wangu na uaminifu kwenye kazi bila kusahau kujituma vyoote ni kwasababu ya kumpata mume wangu kipenzi Mokoyo
Ananileta job na jion anakuja kunichukua ananipa upendo wa kipekee.
I love my hubby with all of
my heart no one like him.
Kumbe imekula kwangu

 
ahaaa yule manzi mpenda mkwanja njoo hapa,,pedeshee la kihaya limekuja,,
 
nashukuru atoto,nakukubali sana mpendwa
btw kuna shemu wako humu anaitwa Kaizer inamaana hajasema chochote hadi sasa katika uzi huu. ukimuona mwambie nasubiri salamu zake hapa.

jamani shem Kaizer where r u??? tafadhali njoo nikufahamu niuburudishe moyo wangu, fanya haraka
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ngoja nipite kimya kimya hadi mtaa wa saba! Huu uzi una wenyewe..
 
Back
Top Bottom