Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Ha ha ha utatuma kwangu
Mm ndo sales manager
Express unayempenda kwanza

ooh my God sa mbn itakua barua yako ya uchumba sasa na si ya house girl aisee
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kumbe imekula kwangu

 
ahaaa yule manzi mpenda mkwanja njoo hapa,,pedeshee la kihaya limekuja,,
 
nashukuru atoto,nakukubali sana mpendwa
btw kuna shemu wako humu anaitwa Kaizer inamaana hajasema chochote hadi sasa katika uzi huu. ukimuona mwambie nasubiri salamu zake hapa.

jamani shem Kaizer where r u??? tafadhali njoo nikufahamu niuburudishe moyo wangu, fanya haraka
 
Last edited by a moderator:
Huu uzi ngoja nipite kimya kimya hadi mtaa wa saba! Huu uzi una wenyewe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…