Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Nadhani unakumbuka biashara yangu na wewe bado hatujaimaliza. na unajua fika we ndo mkwamishaji. najua unajua kuwa mtaji ninao. Haya timizg wajibu wako chapchap kabla sijakuendea kwa sangoma.

Babu tuliaaaaaaa! He who laughs last laughs long! Ww vijana hawa nguvu ya soda, mambo yako nakutunzia! Itifaki ya ukaguzi lazima izingatiwe!
 
Ipo haja kukaa na kuzungumza pamoja na kupitia mipaka na mikataba yote ili kuweka mambo sawa kabla hayajawa shaghala baghala.. By the way mimi nitakaa kikao na Zinduna huku tulipo ili kuweka mambo sawa.
 
Last edited by a moderator:

Kwani Zinduna naye kaingia tunduni?
 
Last edited by a moderator:
Babu tuliaaaaaaa! He who laughs last laughs long! Ww vijana hawa nguvu ya soda, mambo yako nakutunzia! Itifaki ya ukaguzi lazima izingatiwe!

Naamini Vin Diesel na viboys vyenzake vlnajua lugha zote mbili. Naamini watakuwa wamekuelewa.

Usisahau kukam zis wei..... without.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa! Mi nipo WENGI WAMEACHIA NGAZI NA WENGINE WAMEPANDA MI NASIMAMA PALEPALE! Come January come december, HOE alitakaga hadi kumzalia huyu mswati, sijui iliishia wapi, JIWE KUU NIMETULIA NASUBIRIA KUNSAVE MY COUNTRY!
Nadhani umeona hubby kasemaje ...sina muda tena wa kupoteza....pole mkongwe jiwe la mtoni nimekutoa ukucha huhuuuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…