lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,164
Nadhani unakumbuka biashara yangu na wewe bado hatujaimaliza. na unajua fika we ndo mkwamishaji. najua unajua kuwa mtaji ninao. Haya timizg wajibu wako chapchap kabla sijakuendea kwa sangoma.
Babu tuliaaaaaaa! He who laughs last laughs long! Ww vijana hawa nguvu ya soda, mambo yako nakutunzia! Itifaki ya ukaguzi lazima izingatiwe!