Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

jamani shem Kaizer where r u??? tafadhali njoo nikufahamu niuburudishe moyo wangu, fanya haraka

Mimi hapa...jinsia yako tafadhali maana mashemeji wapo wa kike na wa kiume

Cc DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Vin Diesel mbona unatopanga kama mafungu ya nyanya???

Hebu sema hapa hapa hadharani nani ni namba 1,2,3,4........
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa! Hujagundua huyu HB ni for future use! Akiwa prezidaa utamkumbuka mbona?

embu muweke vizuri vizuri mimi nitamtumia in future naona now hanifai mimi.... hakikisha unamsaidia kimawazo na kifedha pia mimi nitakuja mambo yakishakaa vizuri..
 
embu muweke vizuri vizuri mimi nitamtumia in future naona now hanifai mimi.... hakikisha unamsaidia kimawazo na kifedha pia mimi nitakuja mambo yakishakaa vizuri..
Haqa ni grab them while thwy are in the darkness! Akikaa mjengoni hutogusa level zile! Kama kina January, basi tu Thuwein Makamba mtoto mdogo yule kwangu la sivo angenikoma! GWT THEM EARLY ANS STAY TUNED!

Hujamuona huyu live eeeh? Udongo wa pemba huu ndo maana tunabanana hapo hapo hadi mie mama mtu mzima nimo! Makubwaaaa!
 
Back
Top Bottom