Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unajisogezankwenye kinyanganyiro taratibu? Mbona huyu bwana Mswati?
Hahahaaaaaaa! Hujagundua huyu HB ni for future use! Akiwa prezidaa utamkumbuka mbona?
Hivi unajisikiaje ukituachia na sisi wawili watatu?
Hahahaaaaaaa! Hujagundua huyu HB ni for future use! Akiwa prezidaa utamkumbuka mbona?
Mmmmm charminglady...
Vin Diesel mbona unatopanga kama mafungu ya nyanya???
Hebu sema hapa hapa hadharani nani ni namba 1,2,3,4........
Vin Diesel mbona unatopanga kama mafungu ya nyanya???
Hebu sema hapa hapa hadharani nani ni namba 1,2,3,4........
Asprin niambie kaka....niachie huyu kubwa la maaduiHey... lara 1 na Vin Diesel .... mi nawaangalieni tu. Nikikaşirika msinilaumu.
naomba kupendwa jamani
Bantu lady mimi love u mingi pia
Haqa ni grab them while thwy are in the darkness! Akikaa mjengoni hutogusa level zile! Kama kina January, basi tu Thuwein Makamba mtoto mdogo yule kwangu la sivo angenikoma! GWT THEM EARLY ANS STAY TUNED!embu muweke vizuri vizuri mimi nitamtumia in future naona now hanifai mimi.... hakikisha unamsaidia kimawazo na kifedha pia mimi nitakuja mambo yakishakaa vizuri..