Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Ndo ujue hapo kwa Vin Diesel labda ukubali uwe mchepuko. #Teambazazi # Tuna ushirikiano na uthubutu kama AlShabaab. Huwezi ingia kundini bila ukaguzi wa babu, usije ukawa mamluki wa Uhuru Kenyatta.

hahahahaha hapa ni zaidi ya Mugabe. .
Hunny wangu@Vin Diesel atajibia hilo
 
Last edited by a moderator:
kaizer mamboo!mbona siku hizi sikuonii mitaa fulani hvii!!umebanwaa ni nini!

Mitaaa ipi kwanza charty unataka kunigombanisha na homnie Asprin haya yunayaongelea PM bana...hebu come zis way chap chap sana
 
Last edited by a moderator:
Haqa ni grab them while thwy are in the darkness! Akikaa mjengoni hutogusa level zile! Kama kina January, basi tu Thuwein Makamba mtoto mdogo yule kwangu la sivo angenikoma! GWT THEM EARLY ANS STAY TUNED!

Hujamuona huyu live eeeh? Udongo wa pemba huu ndo maana tunabanana hapo hapo hadi mie mama mtu mzima nimo! Makubwaaaa!
mie nakula na wakubwa wala sikuachi lara 1 unapokula nataka na mimi nile loh!!! ukubwa kuona mengi
 
Back
Top Bottom