Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

682873410_966568.gif


This goes to my parents... Mummy measkron & daddy? watu8

Asante sana daughter...much love from daddy!!
 
Wee bana waache warembo njoo kwenye forum za Wakenya utufahamishe kwa nini katika utajiri wa mijini, hamna mji hata mmoja wa Bongo upo kwenye ishirini bora Afrika, ilhali Nairobi yetu ipo ndani kumi bora. Yaani hata Dar es Salaam imeshindwa na Mombasa. Waite wenzio wakusaidie Kimweri Bulldog Geza Ulole Askari Kanzu https://www.jamiiforums.com/kenyan-...ouseholds-earning-over-$10-000-each-year.html
Kwa style hii, naona hata warembo wa Kibongo tutawateka wote, hapa Nairobi kuna jamaa yangu kamteka na kumuoa mtoto mrembo wa Iringa. Afu jinsi anavyobabaisha kwa Kiswahili chake kitamu, vijana wengi wameanza michakato ya kutalii Bongo.

Waambie wawe makini vijana watukutu wa Bongo watasokomeza naniliu zao kwenye vijamba upepo vya ndugu zako.
 
Last edited by a moderator:
angalau umenigusa lol!! maana sijatajwa mahala popote hahahah

kumbe wewe ni kama mimi? Kama wewe ni she, unaonaje tukaanzisha ushirika wetu? Manake mimi ni he niliyebaguliwa. Nasubiria majibu nijue pa kuanzia.
 
kumbe wewe ni kama mimi? Kama wewe ni she, unaonaje tukaanzisha ushirika wetu? Manake mimi ni he niliyebaguliwa. Nasubiria majibu nijue pa kuanzia.


hahahahah we afadhali umetajwa tajwa bhanaa Babu ila km hujaona KARIBU.
Anzia hapa hapa mweeh teh teh
 
Back
Top Bottom