Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Express your love kwa yule unayempenda Jamiiforums

Teheeee bibie kizuri shurti ule na mwenzio. Hii sio bazoka utasema itaisha utam ukishatafuna wewe...
OLESAIDIMU ushaona kwa nini nilikuwa nagugumia moyoni tu? Kuna waloniwahi ngoja nijitoe tu lol

Ha ha haaaa hivi unajua ule mwimbo wa "Show me the way" wa Papa Wemba!!!!!!???????
Na ule mwingine wa "For you I will" sijui aliimba nani tena!!!!?????
Halafu na wa Tupac "Baby dont cry"...................!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom