Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hiiView attachment 1433136View attachment 1433136
Iliniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
 
Movie imejizolea umaarufu mkubwa Sana'a kwa kipind hich watu wapo majumbani kupambana na corona asa wakijifukiza na kunawamkono na barakoa kwa sana

Chris (tyre rake) ndo kasimamia mzigo huo kama star wa movie

Me naipa rate 9/10

Directors wamejitahd sana action zipo poaa
Ina mfanano wa john wick n action akuna kutulia mwanzo mwisho

Nmeinyima moja koz of bad ending aisee

We unaonaje?View attachment 1435466

Sent using Jamii Forums mobile app
Bonge la dude.
 
IMG_0404.JPG

Ila naona mnyama Tyler kama bado yuko hivi hasa hiki kipande cha mwisho alionekana kama yeye vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa nimefatilia.. huyu jamaa ana uwezo wa kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu sana (kama umeangalia hii Movie kuna kipande jamaa kaka kwenye maji kafunga miguu kwa muda)

So jamaa alivyopigwa risasi na kujitupa kwenye maji.. kule jamaa akufa (yaan kuna nguvu flani anaipata akiwa majini) ndo maana movie inaisha dogo pembeni yake jamaa yupo kwa mbali.

Na kama ukijua jamaa aliweza ku survive kwenye maji ni sawa na Dogo mwishoni mwishoni alivyojaribu kukaa majini kwa sekund tu so it means jamaa kujitupa majini ndo pona yake na ndo maana ata wale wenzake awakuweza kumsaidia sababu wanamuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.

images.jpeg.jpg

Jamaa anaonekana kwa mbali mwishoni
 
Umeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Nadhani hukuekewa lile gemu. Hawakusema kuwa hawataki kumpa hela ila aliye wapa ule mchongo aliwazunguka hivyo Tylor anaona ili apate pesa yake lazima atoke na yule mtoto.

Sehemu tu iliyonichnganya ni pale yule mlinzi wa ovi alipowashamvulia waokoaji swali ni kwamba sasa ni nani alitoa hiyo tenda ya uokoaji?

God save us
 
Huyu mwamba anaitwa nani aiseee nimemkubali noma...

121.
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi
 
Movie ipo poa. Kuhusu fate ya Taylor, Director katika mahojiano anasema inategemea na wewe utakavyoona.
yote tisa director wa hii movie katisha ,maana movie inaonesha jins gan mwanaume untakiwa kupambana yan hakuna kukata tamaa
 
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi

Anamovie za Marvel kama Thor,Avengers pia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Movie imejizolea umaarufu mkubwa Sana'a kwa kipind hich watu wapo majumbani kupambana na corona asa wakijifukiza na kunawamkono na barakoa kwa sana

Chris (tyre rake) ndo kasimamia mzigo huo kama star wa movie

Me naipa rate 9/10

Directors wamejitahd sana action zipo poaa
Ina mfanano wa john wick n action akuna kutulia mwanzo mwisho

Nmeinyima moja koz of bad ending aisee

We unaonaje?View attachment 1435466

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona una tv nzuri ila kilicho kwenye tv akina quality kabisa pole

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu jamaa nimefatilia.. huyu jamaa ana uwezo wa kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu sana (kama umeangalia hii Movie kuna kipande jamaa kaka kwenye maji kafunga miguu kwa muda)

So jamaa alivyopigwa risasi na kujitupa kwenye maji.. kule jamaa akufa (yaan kuna nguvu flani anaipata akiwa majini) ndo maana movie inaisha dogo pembeni yake jamaa yupo kwa mbali.

Na kama ukijua jamaa aliweza ku survive kwenye maji ni sawa na Dogo mwishoni mwishoni alivyojaribu kukaa majini kwa sekund tu so it means jamaa kujitupa majini ndo pona yake na ndo maana ata wale wenzake awakuweza kumsaidia sababu wanamuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba kama ni marks za uchambuzi umepiga A hapo.. ni kweli jamaa hajafa, ila ingekuwa na part two. Naona kuna masnitch wamebaki bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom