PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Hii movie ninayo Kwenye external hard disk ni moja bonge la movie Kwa mwaka huu sidhani kama kuna movie Kali kama hii Kwa mwaka huu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Part 2 ipo jikoni.
Hakuuawa , extraction 2 nafikiri ataonekanaIliniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Nadhani ile risasi aliyopigwa ilimchuna tu.Hakuuawa , extraction 2 nafikiri ataonekana