Neflix naona inakula Ela bure tu wakati telegram move zote mpya unazipata fresh tu move moja kwa gb1 au mb 800
Sent using Jamii Forums mobile app
Iliniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.Katika movie zangu kali za mwaka huu ni hiiView attachment 1433136View attachment 1433136
Bonge la dude.Movie imejizolea umaarufu mkubwa Sana'a kwa kipind hich watu wapo majumbani kupambana na corona asa wakijifukiza na kunawamkono na barakoa kwa sana
Chris (tyre rake) ndo kasimamia mzigo huo kama star wa movie
Me naipa rate 9/10
Directors wamejitahd sana action zipo poaa
Ina mfanano wa john wick n action akuna kutulia mwanzo mwisho
Nmeinyima moja koz of bad ending aisee
We unaonaje?View attachment 1435466
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah.. Jamaa hakufaView attachment 1435672
Ila naona mnyama Tyler kama bado yuko hivi hasa hiki kipande cha mwisho alionekana kama yeye vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Nadhani hukuekewa lile gemu. Hawakusema kuwa hawataki kumpa hela ila aliye wapa ule mchongo aliwazunguka hivyo Tylor anaona ili apate pesa yake lazima atoke na yule mtoto.Umeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Iyo apo TelegramKama Una telegram app nenda sehemu ya search andika action New move update utapata channel. Inamove zote Kali Yan neflix wakiweka tu tayar na wewe unaipata hata iwe season
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha kweli hta mm nilimuona kwa mbaliiiiView attachment 1435791
Jamaa anaonekana kwa mbali mwishoni
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi
Movie imejizolea umaarufu mkubwa Sana'a kwa kipind hich watu wapo majumbani kupambana na corona asa wakijifukiza na kunawamkono na barakoa kwa sana
Chris (tyre rake) ndo kasimamia mzigo huo kama star wa movie
Me naipa rate 9/10
Directors wamejitahd sana action zipo poaa
Ina mfanano wa john wick n action akuna kutulia mwanzo mwisho
Nmeinyima moja koz of bad ending aisee
We unaonaje?View attachment 1435466
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba kama ni marks za uchambuzi umepiga A hapo.. ni kweli jamaa hajafa, ila ingekuwa na part two. Naona kuna masnitch wamebaki badoHuyu jamaa nimefatilia.. huyu jamaa ana uwezo wa kukaa ndani ya maji kwa muda mrefu sana (kama umeangalia hii Movie kuna kipande jamaa kaka kwenye maji kafunga miguu kwa muda)
So jamaa alivyopigwa risasi na kujitupa kwenye maji.. kule jamaa akufa (yaan kuna nguvu flani anaipata akiwa majini) ndo maana movie inaisha dogo pembeni yake jamaa yupo kwa mbali.
Na kama ukijua jamaa aliweza ku survive kwenye maji ni sawa na Dogo mwishoni mwishoni alivyojaribu kukaa majini kwa sekund tu so it means jamaa kujitupa majini ndo pona yake na ndo maana ata wale wenzake awakuweza kumsaidia sababu wanamuelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii app ya telegram inapatikana wapi au tuwekee link