telegram unafanyaje kupata movie mkuu nisaidie basiNeflix naona inakula Ela bure tu wakati telegram move zote mpya unazipata fresh tu move moja kwa gb1 au mb 800
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta link ya hizo group zenye movie mpyaNeflix naona inakula Ela bure tu wakati telegram move zote mpya unazipata fresh tu move moja kwa gb1 au mb 800
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani nimeipataDanload telegram app ukisha danload nenda search utaandika , telegram moveii watakuletea channel apo ambayo ndio real zingine zote usanii ukisha ipata io channel utaingia umo Kuna move zote kal na move zote mpya pia utakuta Kuna link Yao ya telegram season utaifollow pia Kama imekua ngumu kuelewa angali comment za mwanzo nimeweka picha za io channel
Sent using Jamii Forums mobile app
We na wewe mbona unakuwa mzembe si uweke link hapaKama Una telegram app nenda sehemu ya search andika action New move update utapata channel. Inamove zote Kali Yan neflix wakiweka tu tayar na wewe unaipata hata iwe season
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madirector wanamambo ya kichoko sanaUmeniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
ohoooo tena jamaa realy image ya kiume pure na hata movie alio icheza imemfiti sana..Kuna sauti moja naikubali sana, ALRAIGHT MATE IF YOU WANNA SURVIVE DO WHAT I SAID.Bila kusahau movies za Thor,
Naipenda sauti yake nzito na body yake.
accurate View attachment 1436711
hahahah huyu bwege kanikera kinyama yan,alafu anaukurutu sasa shenzi kabisa