Extraction ya Chris Hemsworth mmeionaje?

8 /10 Sababu wale Drug Lords hawakuonesha ukatili tunaoutegemea kutoka kwa watu wa sifa zao.
 
Mdau uliyetoa wazo la Telegram ubarikiwe mnoooo hadi ushangae, nimejiunga huko, nimepata movie nilikua naitafuta miaka mingi ndani ya dakika 5 eti imekua kiganjani mwangu,
Kwa wapenzi wa Movies njooni Telegram kumenogaaaa.
 
Endelea ku enjoy pia kwenye io Chanel Kuna Link ya siason zote kal unazo zijua wewe angalia vizur undelee kufuraia pili mfano Kama unatumia sim ukiwa Una download move Kama huto taka kuiangalia Tena baadae uwe unazifuta sababu zikiwa nyingi Sim hua inasumbua ku danload zingine Ila inategemea na ukubwa wa cm yako
Mdau uliyetoa wazo la Telegram ubarikiwe mnoooo hadi ushangae, nimejiunga huko, nimepata movie nilikua naitafuta miaka mingi ndani ya dakika 5 eti imekua kiganjani mwangu,
Kwa wapenzi wa Movies njooni Telegram kumenogaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazihamisha kwenye memory card, sema kungekua na option ya kuangalia online bila kudownload ingependeza zaidi
 
Huyu steling anapenda saana kufa kwenye movie. Kuna movie mojaa inaitwa Red Dawn ambayo North Korea wanaivamia USA napo alikufa

Ingawa inaaonekana jamaa hakufa, kitendo cha yule Ovi kuonekana anaogelea alafu anakaa kwenye maji muda mrefu kama alivyokuwa anafanya Tyler Rake mwanzoni mwa movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwamba anaitwa chris hemsworth jamaa ni mu australia huyo..ndio kacheza movie inaitwa 12 strong pia ni hatari yan ya kijesh pi
Ni mwanajeshi???ashawai kuwa mwanajeshi.

121.
 
May be tungoje part two..lakini yule Boss adui alipigwa shaba ya kichwa na yule demu..ngoja tuone!
 
a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…