PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Part 2 ipo jikoni.
Hakuuawa , extraction 2 nafikiri ataonekanaIliniuzi sana jinsi movie ilivyoisha, yaani sterling anauawa?? Tena anauawa na kijamaa kijinga kitoto, kwanini wasingemuokoa???? Yaani hela walisema hawawezi kumpa, wanamlazimisha amtose dogo yeye akajitolea kusema hawezi kumuacha, then anauawa maana yake walitaka afe ili asipate haki yake, director wa hii movie ovyo kabisa. Halafu kuna mazingira hayana uhalisia. Ila inasisimua ingawa mwisho mbaya.
Nadhani ile risasi aliyopigwa ilimchuna tu.Hakuuawa , extraction 2 nafikiri ataonekana