Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I did not know our neighbors are such renowned drug dealers..... That came as a suprise to meHajakosea, mgogoro wote huu ulianza na dereva wa taxi ambaye aliuawa na mtanzania ambaye alikuwa anauza madawa ya kulevya. Ila haihalalishi upumbavu ambao waS.A wanaufanya sasa hivi dhidi ya waafrika wenzao.
Do what???Moderator plse do sth!
Tanzania wamejaza omba omba kenya na South Africa wanauza madawa ya kulevya.
Jeezus christ these people really are useless
hawezi kuelewa freedom of speech maana pale magufulistan ni hatia kuongea jambo lolote bila ruksa toka ikulu.Really...... Hate aje sasa!!! We are just reporting on trending topics whether they favour you or not....is another story... Hiyo inaitwa democracy
Si hata majambazi ya kenya yamejazana kwenye magereza yetu.
Sijui kwanini hawa jirani zetu wameipenda sana biashara hiyo haramu ya kusafirisha na kuuza madawa ya kulevya. Watz wengi sana wamenaswa pale JKIA. Utawapata pale jela la Lang'ata na Industrial Area, alafu serikali yao imefumbia macho kabisa uovu huo.I did not know our neighbors are such renowned drug dealers..... That came as a suprise to me