Tetesi: Eye witness account: Seems like TZ is part and parcel of the Xenophobia problem in SA!!

Si hata majambazi ya kenya yamejazana kwenye magereza yetu.
Vile vile drug traffickers na terrorists wa Tanzania kwa magereza yetu...ila hatuna omba omba huko kwenu Kama vile mumewajaza Kenya na South Africa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Meza wembe
 
Hawa watu kama sio omba omba basi ni drug lords. It's very difficult to deal with a lazy people, all they can do is beg, sell drugs and rob.
 
sina uhakika na lengo la huu uzi, ila nacho fahamu mimi Tanzania na watz wanaheshimika saana SA ukilinganisha na wengine. Na hii imepelekea majirani zetu wengi kujiita watz wawapo SA. Hii nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu. Utakuta walinzi na wabeba mikokoteni shopping mall na maegesho wengi hujiita watz ili wapate kazi SA. Lakini ukijaribu kuongea nao utakuta lafuzi ya kiswahili chao ni cha kikenya, kinyarwanda, kirundi nk! Hivyo sina uhakika saana na hao ma drug dealers na huyo aliyefanya tukio la kumuua tax driver ni mtz kweli au ndio hao mamruki wanaojiita watz!
Hata hivyo kutumia teja moja kuhalaliza upuuzi huo na kupaka matope hadhi ya watz haipo sawa hata kidogo! Niombe balozi zetu hasa SA wawe wanafuatilia raia wanaojiita watz kwa ukaribu ili kubaini mamruki hawa wasioitakia mema nchi yetu pendwa na yenye heshima globally!
 
Sorry I didn't want to bring this here. But just to confirm to you that no black foreigner is safe in SA.
Wasauzi wapo busy kutembeza kichapo kwa wanaijeria na waafrika wengine lakini kwako la maana ni kufahamu kati ya Mnaija au Mtz nani anauza drugs huko. Unajifanya unajua zaidi kuliko wasauzi wenyewe? Kisa teja mmoja - so called eye witness. Acheni utoto.
 
sina uhakika na lengo la huu uzi, ila nacho fahamu mimi Tanzania na watz wanaheshimika saana SA ukilinganisha na wengine. Na hii imepelekea majirani zetu wengi kujiita watz wawapo SA. Hii nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu. Utakuta walinzi na wabeba mikokoteni shopping mall na maegesho wengi hujiita watz ili wapate kazi SA. Lakini ukijaribu kuongea nao utakuta lafuzi ya kiswahili chao ni cha kikenya, kinyarwanda, kirundi nk! Hivyo sina uhakika saana na hao ma drug dealers na huyo aliyefanya tukio la kumuua tax driver ni mtz kweli au ndio hao mamruki wanaojiita watz!
Hata hivyo kutumia teja moja kuhalaliza upuuzi. Niombe balozi zetu hasa SA wawe wanafuatilia raia wanaojiita watz kwa ukaribu ili kubaini mamruki hawa wasioitakia mema nchi yetu pendwa na yenye heshima globally!
Eti wakenya wanajiita watanzania? [emoji15][emoji15][emoji15] Uongoo! Mkenya ukimpata sehemu yeyote duniani lazima utasikia kuhusu 25flow[emoji1139][emoji1139][emoji1139].
 
Sorry I didn't want to bring this here. But just to confirm to you that no black foreigner is safe in SA.

Huu ni unyama mkubwa sana. We should never tolerate this behaviour. Hata response ya serikali ya SA ni very weak naiona ikijirudia siku za usoni.
 
Eti wakenya wanajiita watanzania? [emoji15][emoji15][emoji15] Uongoo! Mkenya ukimpata sehemu yeyote duniani lazima utasikia kuhusu 25flow[emoji1139][emoji1139][emoji1139].
ww jifungie humo ndani na utoe povu lakini hilo halibadirishi ukweli! Kama unabisha nenda SA chunguza hao wanaojiita watz kaa hujakutana na wakenya maelfu kwa maelfu! Tena kwa wakenya kwa kuwa hawamo SADC, wanapata taabu sana kupenyeza SA, na njia yenu rahisi ni kujivika utz...sasa ww bisha kama kweli hata ulishafika SA au ndo unapambana na key board tu bila kujua yatokeayo ulimwenguni! huo ndio ukweli japo ni mchungu!
 
Ungekuwa umetia mguu wako S.A. hungetupia huo utumbo wa sijui heshima ya watz. Kule kila mwafrika ambaye sio msauz ni 'makwerekwere'. Wakenya ambao ni wengi kule ni wale wenye asili ya kisomali(Kenyan-Somalis) na ni wanabiashara machachari, sanasana Jozi. Wengi wa wakenya kule ni wanafunzi kwenye vyuo vikuu na walimu na waliosalia wanafanya makazi skilled na corporate kwenye makampuni.
 
you my neighbor r so distant from reality, hata watz wengi wapo kwenye vyuo vikuu, walimu, na skilled worker hivyo hivyo, lakini pia wapo wazamiaji, wenye maisha ya chini sana, hapo ndipo utawakuta wakenya waliouvaa utz! Utakapopata wasaa uende SA, ukiona mtu akijiita mtz, we fanya kautafiti kadogo tu, jaribu kumuuliza ''exactly' anatokea wapi tz, na umdadisi utangundua haraka sana ni '''mlongo kwa nyie wakenya mnyosemanga''!
 
Back
Top Bottom