Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
I did not know our neighbors are such renowned drug dealers..... That came as a suprise to me
You see even cocaine in SA is termed as “unga,” a Swahili jargon for cocaine!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I did not know our neighbors are such renowned drug dealers..... That came as a suprise to me
Porojo porojo tu. Unasema maneno ya eyewitness wa S.A ni ya uongo ila unatulazimisha tuamini yako ya kinafik. Danganya toto.you my neighbor r so distant from reality, hata watz wengi wapo kwenye vyuo vikuu, walimu, na skilled worker hivyo hivyo, lakini pia wapo wazamiaji, wenye maisha ya chini sana, hapo ndipo utawakuta wakenya waliouvaa utz! Utakapopata wasaa uende SA, ukiona mtu akijiita mtz, we fanya kautafiti kadogo tu, jaribu kumuuliza ''exactly' anatokea wapi tz, na umdadisi utangundua haraka sana ni '''mlongo kwa nyie wakenya mnyosemanga''!
siandiki ili kukushawishi ww wala nyan g'au mwingine yeyote! Nimeandika nilichoshuhudia mwenyewe sio kuambiwa na mtu!Porojo porojo tu. Unasema maneno ya eyewitness wa S.A ni ya uongo ila unatulazimisha tuamini yako ya kinafik. Danganya toto.
Haya basi, ungepost kwenye jukwaa la udaku ingependeza zaidi. Ila usijaribu kulazimisha kwamba magenge ya watz wauza madawa Pretoria ni ya wakenya ambao wameamua kuwachafulia jina jirani zao. Like, seriously?siandiki ili kukushawishi ww wala nyan g'au mwingine yeyote! Nimeandika nilichoshuhudia mwenyewe sio kuambiwa na mtu!
Sasa mwananchi atamshikaje mtu na kumhukumu?Si wawashike na wawahukumu?
Kama wanafahamu wanauza drugs kwanini wanawaacha?
Hawafanyi kwa lengo la kuchafua jina...bali kupata unafuu wa maisha huko SA lakini kwa kukosa ustaarabu ndio wanajikuta wanadhalilisha jina na hadi ya uraia waliouvaa!Haya basi, ungepost kwenye jukwaa la udaku ingependeza zaidi. Ila usijaribu kulazimisha kwamba magenge ya watz wauza madawa Pretoria ni ya wakenya ambao wameamua kuwachafulia jina jirani zao. Like, seriously?
Ashakum si matusi jombaa lakini itabidi nikueleze kwamba wewe ni mpumbavu kupindukia.Hawafanyi kwa lengo la kuchafua jina...bali kupata unafuu wa maisha huko SA lakini kwa kukosa ustaarabu ndio wanajikuta wanadhalilisha jina na hadi ya uraia waliouvaa!
Ubongo na akili yako vipo kichwani au kwenye makalio?wakombozi wa Afrika vyuma vimekaza sana.
sishangai kuropoka hayo maneno ...yanashabihiana sana na yale yatolewayo na vichaa ktk wodi...maana utamkuta kichaa akimuambia daktari wake kuwa ndio kichaa afu yeye kichaa halisi kujiona ni mzima!Ashakum si matusi jombaa lakini itabidi nikueleze kwamba wewe ni mpumbavu kupindukia.
Sawa.sishangai kuropoka hayo maneno ...yanashabihiana sana na yale yatolewayo na vichaa ktk wodi...maana utamkuta kichaa akimuambia daktari wake kuwa ndio kichaa afu yeye kichaa halisi kujiona ni mzima!
ungekuwa mzima ningekuomba ujitathmini lakini kwa kuwa umeshajitaja uhalisia wako, kesi imefungwa!
Doesn't prove anything were you there in south africa?
sina uhakika na lengo la huu uzi, ila nacho fahamu mimi Tanzania na watz wanaheshimika saana SA ukilinganisha na wengine. Na hii imepelekea majirani zetu wengi kujiita watz wawapo SA. Hii nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu. Utakuta walinzi na wabeba mikokoteni shopping mall na maegesho wengi hujiita watz ili wapate kazi SA. Lakini ukijaribu kuongea nao utakuta lafuzi ya kiswahili chao ni cha kikenya, kinyarwanda, kirundi nk! Hivyo sina uhakika saana na hao ma drug dealers na huyo aliyefanya tukio la kumuua tax driver ni mtz kweli au ndio hao mamruki wanaojiita watz!
Hata hivyo kutumia teja moja kuhalaliza upuuzi huo na kupaka matope hadhi ya watz haipo sawa hata kidogo! Niombe balozi zetu hasa SA wawe wanafuatilia raia wanaojiita watz kwa ukaribu ili kubaini mamruki hawa wasioitakia mema nchi yetu pendwa na yenye heshima globally!
Angalau ww unafuatilia kwa umakini kiasi, umenikumbusha kitu kingine! wanaoajiri na kufukuza wafanyakazi SA ni makaburu! Na Makaburu wanajua fika kuwa hasira za waSA siku zikielekezwa kwao weupe itakuwa ndio mwisho wao. Sasa kwa umakini sana, wamekuwa wakiwanyima kazi waSA na kuwapa wahamiaji kutoka mataifa mengine tena kwa ujira mdogo. Hawa wahamiaji kwa kuwa hawachagui kazi, utakuta wanafanya kazi sehemu nyingi kwa siku na makusanyo yao yanakuwa makubwa. Hivyo kuwa na nguvu ya kiuchumi. Sasa balaa linakuja kwa wazawa ambao wanakuwa wanaume suruali, na mademu zao wanachukuliwa na wageni kwa kuwa na mshiko. Kwa kuchombeza, makaburu wanawaeleza wazawa kuwa ajira zao zimechukuliwa na wageni. ukijumurisha na machungu ya kunyang'wanywa mademu zao ambao waliowengi maumbile yao ndio hivyo, kinachofuata usipime!Mnaongea tu bila kujua kitu, but wa SA wenyew wasema ukweli sio hawa walevi wa mtaan wanasema Taxi drivers wamekua wakihusishwa na crimes kibao in SA, ingia kwe acnt ya shomadhjozi ukifatilia utaona waSA wanaadmit kuwa hata watu wao ni waovu kinoma hao tax drivers wao ndo madeliver wa hizo drugs, weapons and guns, wanatumika katika maovu yote ya usiku, and ukiacha huyo, wameuliwa kibao tu. So tatzo co mauaji coz mauji kwao ni kama jogoo kuwika kwetu kila siku asubuhi, wale wana chuki na hasira kwa wanaija kwa kumiliki 80% of their land activities business women drug dealing guns and many more. Hao waliopo chini kabsa wanajua kinachoendelea ndio maana wameenda moja kwa moja kwa wanaijeria, co kama wamewasingizia but kiukwel co wote wabaya. Na pia wakenya mnatakiwa kujua kua kule SA wakenya watz nimeskia ni wamoja kichizi na wote wanajitambulisha kuwa ni wa Tz coz inasemekana watz kule wanaheshimika, so Tz na kenya walopo kule wanashirikiana katka kila kitu na nimeona tweet moja inasema ni mafia kichz huko hawashkiki. But hii kitu haijaanzia kwa driver but imeanza kwa mengi tusioyajua adi sasahv
Na pia magaidi waTzed wengi wamekamatwa wakisaidia Al Shabaab . These people love bloodshedding umeona vile wengi wao hufurahia ati waTurkana wanakufa njaa.Sijui kwanini hawa jirani zetu wameipenda sana biashara hiyo haramu ya kusafirisha na kuuza madawa ya kulevya. Watz wengi sana wamenaswa pale JKIA. Utawapata pale jela la Lang'ata na Industrial Area, alafu serikali yao imefumbia macho kabisa uovu huo.
Hili jizi jambazi sugu la Tanzania sasa ameona "spearheading hate" wakati yeye amejulikana dunia nzima kushambulia Kenya for many many years.Invisible I See Kenyans R spearheaDing Hate In JF!
Na pia magaidi waTzed wengi wamekamatwa wakisaidia Al Shabaab . These people love bloodshedding umeona vile wengi wao hufurahia ati waTurkana wanakufa njaa.
Hili jizi jambazi sugu la Tanzania sasa ameona "spearheading hate" wakati yeye amejulikana dunia nzima kushambulia Kenya for many many years.
Frankly Geza you're such a huge hypocrite.
Acha uongo, bora useme Malawians au Zambians au Mozambicans hata Warundi na Wanyarwanda wanapata kazi kirahisi kuliko Wabongo. Kwa experience yangu ya SA(my first time there was during De Clark era) ni aibu kuwa Mtanzania, foreigners mateja wanaoongoza ni Wabongo, 'mabich boy) yaani wale 'mabaharia walala nje' ni Wabongo, vibaka kwapukwapu(wapora simu na mikoba ya kina mama) ni Wabongo. Mapusha wa mitaani(japo sembe huwa ni ya Nigerians mostly) ni Wabongo. Ni big crimes tu(kama bank robberies au cash on transit vehicles jacking) ndiyo utakuta Zimbabweans na Wasauz wenyewe. Wazambia wao ni wizi wa magari na Wamalawi ule wizi wa kulala madukani na kukusanya mauzo usiku na kutoka asubuhi.sina uhakika na lengo la huu uzi, ila nacho fahamu mimi Tanzania na watz wanaheshimika saana SA ukilinganisha na wengine. Na hii imepelekea majirani zetu wengi kujiita watz wawapo SA. Hii nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu. Utakuta walinzi na wabeba mikokoteni shopping mall na maegesho wengi hujiita watz ili wapate kazi SA. Lakini ukijaribu kuongea nao utakuta lafuzi ya kiswahili chao ni cha kikenya, kinyarwanda, kirundi nk! Hivyo sina uhakika saana na hao ma drug dealers na huyo aliyefanya tukio la kumuua tax driver ni mtz kweli au ndio hao mamruki wanaojiita watz!
Hata hivyo kutumia teja moja kuhalaliza upuuzi huo na kupaka matope hadhi ya watz haipo sawa hata kidogo! Niombe balozi zetu hasa SA wawe wanafuatilia raia wanaojiita watz kwa ukaribu ili kubaini mamruki hawa wasioitakia mema nchi yetu pendwa na yenye heshima globally!