Tetesi: Eye witness account: Seems like TZ is part and parcel of the Xenophobia problem in SA!!

Porojo porojo tu. Unasema maneno ya eyewitness wa S.A ni ya uongo ila unatulazimisha tuamini yako ya kinafik. Danganya toto.
 
siandiki ili kukushawishi ww wala nyan g'au mwingine yeyote! Nimeandika nilichoshuhudia mwenyewe sio kuambiwa na mtu!
Haya basi, ungepost kwenye jukwaa la udaku ingependeza zaidi. Ila usijaribu kulazimisha kwamba magenge ya watz wauza madawa Pretoria ni ya wakenya ambao wameamua kuwachafulia jina jirani zao. Like, seriously?
 
Haya basi, ungepost kwenye jukwaa la udaku ingependeza zaidi. Ila usijaribu kulazimisha kwamba magenge ya watz wauza madawa Pretoria ni ya wakenya ambao wameamua kuwachafulia jina jirani zao. Like, seriously?
Hawafanyi kwa lengo la kuchafua jina...bali kupata unafuu wa maisha huko SA lakini kwa kukosa ustaarabu ndio wanajikuta wanadhalilisha jina na hadi ya uraia waliouvaa!
 
Hawafanyi kwa lengo la kuchafua jina...bali kupata unafuu wa maisha huko SA lakini kwa kukosa ustaarabu ndio wanajikuta wanadhalilisha jina na hadi ya uraia waliouvaa!
Ashakum si matusi jombaa lakini itabidi nikueleze kwamba wewe ni mpumbavu kupindukia.
 
Ashakum si matusi jombaa lakini itabidi nikueleze kwamba wewe ni mpumbavu kupindukia.
sishangai kuropoka hayo maneno ...yanashabihiana sana na yale yatolewayo na vichaa ktk wodi...maana utamkuta kichaa akimuambia daktari wake kuwa ndio kichaa afu yeye kichaa halisi kujiona ni mzima!
ungekuwa mzima ningekuomba ujitathmini lakini kwa kuwa umeshajitaja uhalisia wako, kesi imefungwa!
 
Sawa.
 
Don't try to sugarcoat
 
Angalau ww unafuatilia kwa umakini kiasi, umenikumbusha kitu kingine! wanaoajiri na kufukuza wafanyakazi SA ni makaburu! Na Makaburu wanajua fika kuwa hasira za waSA siku zikielekezwa kwao weupe itakuwa ndio mwisho wao. Sasa kwa umakini sana, wamekuwa wakiwanyima kazi waSA na kuwapa wahamiaji kutoka mataifa mengine tena kwa ujira mdogo. Hawa wahamiaji kwa kuwa hawachagui kazi, utakuta wanafanya kazi sehemu nyingi kwa siku na makusanyo yao yanakuwa makubwa. Hivyo kuwa na nguvu ya kiuchumi. Sasa balaa linakuja kwa wazawa ambao wanakuwa wanaume suruali, na mademu zao wanachukuliwa na wageni kwa kuwa na mshiko. Kwa kuchombeza, makaburu wanawaeleza wazawa kuwa ajira zao zimechukuliwa na wageni. ukijumurisha na machungu ya kunyang'wanywa mademu zao ambao waliowengi maumbile yao ndio hivyo, kinachofuata usipime!
Hivyo chanzo cha haya yote ni haohao makaburu kuhamisha hasira ya weusi wa Sa kwenda kwa weusi wakuja!
 
Na pia magaidi waTzed wengi wamekamatwa wakisaidia Al Shabaab . These people love bloodshedding umeona vile wengi wao hufurahia ati waTurkana wanakufa njaa.
 
Unapenda kusema tunafurahia matatizo yenu wakati siku haipiti hamjafungua nyuzi za kushangilia matatizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyani msioona kundule Nyie.

Na pia magaidi waTzed wengi wamekamatwa wakisaidia Al Shabaab . These people love bloodshedding umeona vile wengi wao hufurahia ati waTurkana wanakufa njaa.
 
Nyani msioona kundule
Hili jizi jambazi sugu la Tanzania sasa ameona "spearheading hate" wakati yeye amejulikana dunia nzima kushambulia Kenya for many many years.
Frankly Geza you're such a huge hypocrite.
 
Acha uongo, bora useme Malawians au Zambians au Mozambicans hata Warundi na Wanyarwanda wanapata kazi kirahisi kuliko Wabongo. Kwa experience yangu ya SA(my first time there was during De Clark era) ni aibu kuwa Mtanzania, foreigners mateja wanaoongoza ni Wabongo, 'mabich boy) yaani wale 'mabaharia walala nje' ni Wabongo, vibaka kwapukwapu(wapora simu na mikoba ya kina mama) ni Wabongo. Mapusha wa mitaani(japo sembe huwa ni ya Nigerians mostly) ni Wabongo. Ni big crimes tu(kama bank robberies au cash on transit vehicles jacking) ndiyo utakuta Zimbabweans na Wasauz wenyewe. Wazambia wao ni wizi wa magari na Wamalawi ule wizi wa kulala madukani na kukusanya mauzo usiku na kutoka asubuhi.
Hivyo basi foreigners wanaoongoza kwa kudharaulika ni Wabongo wenzetu, wengi wao wanaishi maisha ya kujifedhehesha sana lakini wapo wengi pia wenye maisha mazuri(professionals na big time dealers as well).
 
Huu upumbavu wa Wasouth utaisha lini, yaani wana chuki dhidi ya Wanaijeria kupita maelezo, lolote mbaya likifanywa na mgeni mweusi wao wanatumia kama fursa dhidi ya Wanaijeria. Hapa ni wazi Watanzania ndio wametajwa maana wanasemekana ndio wanaongoza kama wauza unga na wahalifu, lakini mwisho wa siku Mnaijeria ndiye anapokea kichapo.

Hii bifu ya Nigeria na Afrika Kusini sijui itaisha lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…