Ezden apata mpenzi UK

jamani jamani loh kweli jasiri kamwe hawezi acha asili
 
Kwa Dida aliondoka na bajaji, kwa mbuta nanga ataondokaje kikinuka?
 

Huyu mama ndiye aliyenaniliu na mbunge wa kule wanatoka mamong'oo? Akamsingizia kuwa amembaka?
 
Hahahaaaa...me siamini hizi habari jamani.
 
Dogo karuka mk o o Jo kakanyaga ma.....v....i
 
Sometimes rumours are true. Siombei iwe hivyo jamani Khaaaaaaaa. kwa Flora Lymo tena?? Mwenye picha nzuri kuliko zote za huyu mwanamama anisaidie tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…