Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #21
Yani picha ya huyo demu haifai hata kupigia nyeto, huyu ezden atakuwa na matatizo sio bure!
Ina maana ukipewa huli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani picha ya huyo demu haifai hata kupigia nyeto, huyu ezden atakuwa na matatizo sio bure!
Huyu mtoto hana wazazi?
some kind of joke, right???
Ule msemo wa ukisema cha nini wenzako wakiona cha maana na mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi umedhihirika pale ambapo kijana mzoea ma sugar mammy amejikuta akiangukia kwenye suga mammiest zaidi ya aliyekuwa nae awali.
Inasemekana Ezden the roker yule mtalaka wa dida shaibu ameingia katika penzi jipya na Flora Lymo a.k.a MBUTA NANGA ambae amekufa na kuoza kwa kijana Ezden. Habari kutoka kwa watu wa karibu na wahusika hawa zinasema tayari ticket imekatwa tayari kwa Ezden kukanyaga viunga vya jiji la London ili kumsalimia mpenzi wake mpya Flora Lymo. Kwa faida ya wengi ni kwamba Flora ndiye aliyetupa nyavu kwa Ezden na kijana bila hiyana akanasa nyavuni. Kama mambo yataenda sawa kijana Ezden anaweza kuhamia nchini Uingereza na kupata uraia wa huko kwani bibie tayari ana kibali cha kudumu cha makazi ya nchi hiyo kama sio uraia kabisa.
Kwa habari hizi yule mtoto wa king majuto alaiyekuwa ametuma maombi kwa florah lymo asahau tu kwani kete imemwangukia Ezden the rocker.
Hahaha ila Ezden kwa kuparamia mamama hahaha hujambo. ujue florah ni 40yrs anaitafuta 41 heri hata dida ni 30's.
Nawatakia kila la heri katika mapenzi yao...kumbuka mapenzi si sura, umbo wala umri. Dida mchuma ndio unaondoka huoooo kitu U.K.
Picha chini ni florah lymo na ezden the roker
Huyu mama ndiye aliyenaniliu na mbunge wa kule wanatoka mamong'oo? Akamsingizia kuwa amembaka?
Ndo yeye mkuu aliyetakwa kubakwa na mheshimiwa
ushaambiwa ni tetesi
Ina maana ukipewa huli??
Haha bibie huoni ameanza kupiga picha za magauni...chezea swala 5 wewe.
Yeye hapo hana habari mama ya how to look sexy at home, afu kijana wako ndo anakuletea mbutananga kama mkewe mtarajiwa eeeeh
Sometimes rumours are true. Siombei iwe hivyo jamani Khaaaaaaaa. kwa Flora Lymo tena?? Mwenye picha nzuri kuliko zote za huyu mwanamama anisaidie tafadhali.