Ezden apata mpenzi UK

Flora wa Ezden...Anataka achukue tuzo ya kina Marioo


Anyway sio ishu,kila mtu na maisha yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu mdogo wake Madame B labda anapelekwa kupiga picha za chupi za kiume. Mwenzenu anaekspandi biashara nyie mnawaza size ya mgongo!
Yani picha zake tu huwa zinanifanya nihisi ni fyatu
akipiga huo mgongo sasa unaweza dhani kiboko....
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapo hayo maadili yako wapi huyo Ezden alokua anapiga tarumbeta kua Dida hana maadili ya kidini,naona kama kweli basi na yeye pia kichwani hayuko sawa...........
 
Eeeh mungu msaidie kijana wako Ezden hizi tetesi ziwe ni km ndoto mtoto asiende kubemendwa UK.Aaamin
 
Hahahaa dah mwandishi wa stori hii umeniamulia mwaka huu....! Are u serious about this?
 
Hahahahaha katika siku ambazo nimecheka ni Leo hasa hii habari ya Mbuta na Edzen! Hakika Ed kachanganyikiwa kabisa!

Mkuu hii dunia haiishi vituko hii kwa kweli inashangaza huyu kijana huenda anataka kulamba uraia wa huko then asepe zake
 
Hahaaaaaa nimecheka mbutananga alivyosema insta na watu walivyomponda kwenye hii thread
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…