kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Halafu huwa hajali kabisa hahaha
anajikubali.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu huwa hajali kabisa hahaha
Ezden kapige mambo acha kusikiliza maneno ya raia. Shimo shimo tu baya la nyoka
Yani picha zake tu huwa zinanifanya nihisi ni fyatu
akipiga huo mgongo sasa unaweza dhani kiboko....
Hahahaa dah mwandishi wa stori hii umeniamulia mwaka huu....! Are u serious about this?
Hahahaa dah mwandishi wa stori hii umeniamulia mwaka huu....! Are u serious about this?
Kwa Dida aliondoka na bajaji, kwa mbuta nanga ataondokaje kikinuka?
Hahahahaha katika siku ambazo nimecheka ni Leo hasa hii habari ya Mbuta na Edzen! Hakika Ed kachanganyikiwa kabisa!