Ezden na picha za aibu, nakupa pole

Ezden na picha za aibu, nakupa pole

evelyn acha mbwembwe utakua unamatatizo kwenye kizazi kama kile ndio kibamia kwako,kapime.yale ni maumbile yakawaida tu kwa mwanaume alietimia.alafu boy nimstaarabu sana.alidhalilika ni mschana maana anafahamika aibu sana
 
ndo aaache umarioo kijana smart yule na suti zake fresh anawekwaje na mwanamke tena geto.la.vile ha ha ha boksa sijui aliitoa uvunguni

yaani huyu mvulana hajielewi kabisa mi nilifikiri yale yaliyompata kwa dida yangekuwa wake up call....ila afadhali sasa wanaume nao waone cha moto maana walizidi kuwarekodi wanawake..lol
 
Fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama.......
 
Teh Teh unajua kila nikiangalia hile video na cheka halafu ina sikitisha sana kwakweli pamoja kuwa pale hapaendani na alivyo na anavyo onekana na anavyo jionesha kabisa!

Halafu huyu jamaa ana tatizo la kupenda utegemezi na sijui kwanini hajifunzi kwa makosa anayo fanya? Nilitegemea angejifunza kwa yalio mkuta kwa Dida lakini anaonekana hasikii kabisa!

Bado najiuliza anapofanyia kazi hawamlipi? hana wazazi wa kumshauri? hana marafiki wa kumshauri?
Hakika huyu ana hitaji kupimwa akili kabisa!

Au ana hitaji serikali itoe tenda kwa kampuni za kutoa ushauri ya mshauri?
 
Fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama.......

Mkuu kweli uko sawa?
Unajua hili ni jukwaa gani?Umesoma mada?

Au ni mgeni wa jamvi?
 
yaani huyu mvulana hajielewi kabisa mi nilifikiri yale yaliyompata kwa dida yangekuwa wake up call....ila afadhali sasa wanaume nao waone cha moto maana walizidi kuwarekodi wanawake..lol

ha ha ha ila huyo dada.nae.mweh hicho chumba
 
Mambo yakutaka sifa na yeye anakaa Kinondoni, kumbe chumba chenyewe ukipiga chafya unajikuta uko nje....Angeenda kupanga Mbagala ukute kwa hela anayolipa hapo angepata chumba na Sebule...
 
Fukuza fukuza inakidhoofisha chama
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya kutokua na imani na waziri mkuu?
angekuwa anatumiwa na usalama wa taifa angetoa hoja binafsi ya mabilioni ya uswis?.......katu sikubaliani na maamuzi ya kumvua zitto uanachama.......

Sawa....
 
ha ha ha ila huyo dada.nae.mweh hicho chumba

Umeliona taulo? Pazia? Yani kiko disorganized, makorokoro kibao...Yule kweli Mario aliyekubuhu...Vile alivyo anaanzaje kuishi pale? Kwa Dida sawa, nyumba kubwa, organized, safi...ila huku duh...

Dinazarde njoo umkanye mwananzengo mwenzio....
 
Last edited by a moderator:

Shoga mbona mie hiyo video sijaiona?Yani nina hamu yakuiona balaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom