Pre GE2025 Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu keshaingiliwa na Abdul...
 
Machawa wa Lisu watasema ametumwa na Abdul 😁😁
 
Vipi nafasi ya mwenyekiti nayo pia tujktokeze kugombea?
 
Jamaa wa buti la Jeje anaweza kung'oka
 
Lissu Gombea Uenyekiti Mbowe anadhani chama ni sacoss yake.
Miaka yote anafukuza watu hata sasa anataka kumfukuza Heche na Lissu.
Huyu jamaa mtoeni yule sio mpinzani hivi kweli mbowe unadhani ukigombea urais utapata kura hata elf 60??
Una utani wewe nani akupe kura ili uwe Rais....
Wanakusema umeshalamba na kweli wewe sio kabisa hufai unawekea lisu vibaraka wako wakati wewe ukisikia Lissu anagombea unatuma vibaraka wako kumtukana.
 

1. Hii itakuwa ni hatua njema ya kidemokrasia yenye kuondoa Ile dhana potofu ya uwepo wa vyeo ambavyo kugombea huhusishwa na kuonja sumu, tena kwa ulimi.

2. Hii itakuwa hivyo ikiwa vyeo vyote across the board vitakuwapo wazi kugombewa kidemokrasia na kila mwenye kudhani ana ubavu chini ya dhana kamili ya uchaguzi huru, wa haki na wenye kuaminika.

3. Ikumbukwe hapo #2, ndipo lilipo chimbuko kamili la vita vyetu vya kuikomboa nchi hii dhidi ya chaguzi za kijambazi.

imhotep haya si ndiyo yale mambo yetu sasa dhidi ya akina johnthebaptist na wale wengine?
 
Nafasi ya Mwenyekiti hakuna kugombea?
 
Katumwa na mzee mbowe kumvuruga Tundu Lissu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…