Huyu ndio Mbowe mazee,lissu anaendeshwa na mzee wa form four ?๐โโ๏ธ๐โโ๏ธAkili ndogo kabisa hii imetumika kumjaribu Lissu...
Kwahiyo Mbowe anachokonoa ili ajue Lissu atagombea nafasi gani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio Mbowe mazee,lissu anaendeshwa na mzee wa form four ?๐โโ๏ธ๐โโ๏ธAkili ndogo kabisa hii imetumika kumjaribu Lissu...
Kwahiyo Mbowe anachokonoa ili ajue Lissu atagombea nafasi gani!
Kwa nini sio Mzee Mbowe?Ulitaka Lisu apite bila kupingwa kama huko CCM?
Lissu na Heche hawana asili ya kaskazini mkuu,si unaona mnyika ni katibu kwa kuwa tu mama yake katoka kaskazini ?Hichi chama kinahitaji wanaharakati, Mbowe na siasa zake za maridhiano zinakirudisha chama nyuma,
Lissu Mwenyekiti
Heche makamo
Lema mwenezi
We are ready to go๐ค๐ค
Kama namuona Tundu Lissu akisakata mziki baada ya Rais wa TLS mpya kutangazwa mshindi.. Kumbe nafasi yake inanyemelewa.Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje na wengine watakaojitokeza.
Tunatoa wito kwa Wanachama wengi zaidi kujitokeza kuwania nafasi za Juu ili kuimarisha Demokrasia.
Mungu Ibariki Chadema.
View attachment 3062364
***
Joto la uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeanza kupamba moto, baada ya Ezekia Wenje kutangaza nia ya kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho-Bara.
Wenje ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria Chadema yenye mikoa ya Mwanza, Kagera na Geita, anakusudia kujitosa kuomba ridhaa ya nafasi hiyo ambayo kwa sasa inashikiliwa na Tundu Lissu.
Mbunge huyo wa zamani wa Nyamagama, Mkoa wa Mwanza amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari juu ya kusudio lake hilo, akisisitiza ameamua kuwania nafasi hiyo, ili kuongeza ufanisi wa kazi na uwajibikaji.
Wenje amesema baada ya tafakuri ya muda ameona ana uwezo wa kuwa msaidizi wa karibu wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye duru za kisiasa zinaonyesha atagombea tena uenyekiti kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
"Kutokana na uzoefu nilionao chamani, nimejitathimini kuwa nina uwezo wa kuwa msaidizi wa Mbowe, naomba ifahamike chama chetu cha Chadema kimekuwa kikijipambanua siku hadi siku katika kupigania haki za watu, ikiwemo uhuru, haki na maendeleo," amesema.
Katika upande mwingine, amesema kulingana: โna utafiti wetu katika Kanda ya Ziwa tumebaini bado wananchi wanapitia maisha magumu, hivyo Serikali inatakiwa kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi kwa wakati.
"Tumejiridhisha bado hali ya maisha ya wananchi wa Kanda ya Victoria ni mbaya, Chadema tunachukizwa na ugumu wa maisha kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, utitiri wa kodi, tozo, ushuru na mazingira magumu ya kujipatia kipato," amesema.
Wenje ameendelea kusema: โAjabu ni kuona Serikali haijali kutatua matatizo na vikwazo vinavyowadidimiza katika wimbi la umaskini na unapokuwa msaidizi wa mwenyekiti ni kusikiliza, kushauriana na kumsaidia kwa sababu lengo letu ni kushika dola tukiwa na umoja, tutashinda."
Hata hivyo, haijafahamika kama Lissu ambaye ni mbunge wa zamani wa Singida Mashariki atawania nafasi hiyo kwa mara nyingine au atapoumzika, kwani jitihada za kumtafuta kuzungumzia jambo hilo kwa njia ya simu zinaendelea, baada ya awali kutafutwa bila mafanikio.
Naye Katibu wa Chadema Wilaya ya Sengerema, Paul Fulano amesema Wenje kutangaza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti haina maana kwamba hakuna maelewano kati yake na Lissu.
"Kanda ya Ziwa tumefurahi Wenje kuonyesha nia ya kugombea hii nafasi hii, maana hata Lissu kwa sasa tunavyomuona hana mpango wa kugombea nafasi ya chama, anataka agombee urais wa nchi, ili tugawanye majukumu yetu kwa urahisi katika chama," amesema.
Julai 26, 2024, Lissu akizungumza na waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kutoka ughaibuni, alitangaza nia ya kuwania tena urais katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Lissu ambaye mwaka 2020 aliwania urais na kushindwa na Dk John Magufuli wa CCM aliyekuwa anatetea nafasi hiyo, alisema kwa sasa chama hicho kinaandaa wagombea wa nafasi mbalimbali kwa ajili ya kuhakikisha kinaibuka mshindi.
โNia yangu ya kugombea mwaka 2025 ipo palepale, nitaitikia wito wa Watanzania na nitaitikia wito wa chama changu kama kitanitaka kufanya hivyo,โ alisema Lissu.
Kutokana na nia hiyo ya Wenje, mchambuzi wa masuala ya kidiplomasia na kisiasa, Hamduni Maliseli amesema kama katiba ya Chadema inaruhusu mtu kama Wenje kugombea, hakuna tatizo anaweza kushika nafasi hiyo kwa sababu amehudumu kwa muda mrefu ndani ya chama hicho.
"Bila shaka ni mtu sahihi kwa sababu yule ambaye ni makamu kwa sasa sidhani kama wanazidiana sana na Wenje ngazi ya siasa, labda kuna mambo amejifunza kutoka kwake ndio maana anataka kugombea nafasi hiyo,โ ameongeza.
Kwa upande wake, mchambuzi wa siasa na masuala ya maendeleo ya jamii, Atiki Abubakari amempongeza Wenje kwa uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo akisema utaleta demokrasia ndani ya chama hicho.
"Uamuzi wa Wenje kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti unaonyesha wazi Chadema wameamua kuwa na demokrasia ndani yao na hilo lisiishie kwa nafasi ya makamu mwenyekiti tu, bali wapatikane wengine wanaogombea nafasi ya mwenyekiti," amesema.
Mbowe ataacha mwenyewe hiyo nafasi lakini kwa sasa hakuna wa kumtingisha.Lissu agombee uenyekiti
Sawa, kumbe ni chama cha mboweMbowe ataacha mwenyewe hiyo nafasi lakini kwa sasa hakuna wa kumtingisha.
Katiba ya Chadema kuna cheo cha mwenezi?Hichi chama kinahitaji wanaharakati, Mbowe na siasa zake za maridhiano zinakirudisha chama nyuma,
Lissu Mwenyekiti
Heche makamo
Lema mwenezi
We are ready to go๐ค๐ค
Huyo ashapewa pesa na Abdul soon anahama Chama! Save the postHii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.
Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje na wengine watakaojitokeza.
Tunatoa wito kwa Wanachama wengi zaidi kujitokeza kuwania nafasi za Juu ili kuimarisha Demokrasia.
Mungu Ibariki Chadema.
View attachment 3062364
***
Joto la uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeanza kupamba moto, baada ya Ezekia Wenje kutangaza nia ya kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho-Bara.
Wenje ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria Chadema yenye mikoa ya Mwanza, Kagera na Geita, anakusudia kujitosa kuomba ridhaa ya nafasi hiyo ambayo kwa sasa inashikiliwa na Tundu Lissu.
Mbunge huyo wa zamani wa Nyamagama, Mkoa wa Mwanza amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari juu ya kusudio lake hilo, akisisitiza ameamua kuwania nafasi hiyo, ili kuongeza ufanisi wa kazi na uwajibikaji.
Wenje amesema baada ya tafakuri ya muda ameona ana uwezo wa kuwa msaidizi wa karibu wa Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye duru za kisiasa zinaonyesha atagombea tena uenyekiti kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
"Kutokana na uzoefu nilionao chamani, nimejitathimini kuwa nina uwezo wa kuwa msaidizi wa Mbowe, naomba ifahamike chama chetu cha Chadema kimekuwa kikijipambanua siku hadi siku katika kupigania haki za watu, ikiwemo uhuru, haki na maendeleo," amesema.
Katika upande mwingine, amesema kulingana: โna utafiti wetu katika Kanda ya Ziwa tumebaini bado wananchi wanapitia maisha magumu, hivyo Serikali inatakiwa kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi kwa wakati.
"Tumejiridhisha bado hali ya maisha ya wananchi wa Kanda ya Victoria ni mbaya, Chadema tunachukizwa na ugumu wa maisha kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa, utitiri wa kodi, tozo, ushuru na mazingira magumu ya kujipatia kipato," amesema.
Wenje ameendelea kusema: โAjabu ni kuona Serikali haijali kutatua matatizo na vikwazo vinavyowadidimiza katika wimbi la umaskini na unapokuwa msaidizi wa mwenyekiti ni kusikiliza, kushauriana na kumsaidia kwa sababu lengo letu ni kushika dola tukiwa na umoja, tutashinda."
Hata hivyo, haijafahamika kama Lissu ambaye ni mbunge wa zamani wa Singida Mashariki atawania nafasi hiyo kwa mara nyingine au atapoumzika, kwani jitihada za kumtafuta kuzungumzia jambo hilo kwa njia ya simu zinaendelea, baada ya awali kutafutwa bila mafanikio.
Naye Katibu wa Chadema Wilaya ya Sengerema, Paul Fulano amesema Wenje kutangaza kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti haina maana kwamba hakuna maelewano kati yake na Lissu.
"Kanda ya Ziwa tumefurahi Wenje kuonyesha nia ya kugombea hii nafasi hii, maana hata Lissu kwa sasa tunavyomuona hana mpango wa kugombea nafasi ya chama, anataka agombee urais wa nchi, ili tugawanye majukumu yetu kwa urahisi katika chama," amesema.
Julai 26, 2024, Lissu akizungumza na waandishi wa habari Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kutoka ughaibuni, alitangaza nia ya kuwania tena urais katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Lissu ambaye mwaka 2020 aliwania urais na kushindwa na Dk John Magufuli wa CCM aliyekuwa anatetea nafasi hiyo, alisema kwa sasa chama hicho kinaandaa wagombea wa nafasi mbalimbali kwa ajili ya kuhakikisha kinaibuka mshindi.
โNia yangu ya kugombea mwaka 2025 ipo palepale, nitaitikia wito wa Watanzania na nitaitikia wito wa chama changu kama kitanitaka kufanya hivyo,โ alisema Lissu.
Kutokana na nia hiyo ya Wenje, mchambuzi wa masuala ya kidiplomasia na kisiasa, Hamduni Maliseli amesema kama katiba ya Chadema inaruhusu mtu kama Wenje kugombea, hakuna tatizo anaweza kushika nafasi hiyo kwa sababu amehudumu kwa muda mrefu ndani ya chama hicho.
"Bila shaka ni mtu sahihi kwa sababu yule ambaye ni makamu kwa sasa sidhani kama wanazidiana sana na Wenje ngazi ya siasa, labda kuna mambo amejifunza kutoka kwake ndio maana anataka kugombea nafasi hiyo,โ ameongeza.
Kwa upande wake, mchambuzi wa siasa na masuala ya maendeleo ya jamii, Atiki Abubakari amempongeza Wenje kwa uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo akisema utaleta demokrasia ndani ya chama hicho.
"Uamuzi wa Wenje kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti unaonyesha wazi Chadema wameamua kuwa na demokrasia ndani yao na hilo lisiishie kwa nafasi ya makamu mwenyekiti tu, bali wapatikane wengine wanaogombea nafasi ya mwenyekiti," amesema.
Katangaza mwenyewe sasa cha kumkimbiza nini tena?Huyo ashapewa pesa na Abdul soon anahama Chama! Save the post
Mimi sipendi watu wanaotamani vyeo vingi.Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari.

Ngoja tuone anachotakaMimi sipendi watu wanaotamani vyeo vingi.
Sasa Mwenyekiti wa kanda ni yeye, halafu anataka umakamu mwenyekiti Taifa na kama haitoshi pia ametangaza rasmi kugombea Ubunge Nyamagana 2025.
Mkuu Erythrocyte save hiyo post yangu utakuja kunikumbukaKatangaza mwenyewe sasa cha kumkimbiza nini tena?
Siandiki hizi nyuzi kibwege, hivi Wenje akihama Chadema kutakuwa na hasara gani?Mkuu Erythrocyte save hiyo post yangu utakuja kunikumbuka
Kwanini kugombea iwe kesi, Je hana haki?Kuna harufu kali na mbaya ya Wenje kununuliwa na kutumiwa kuivuruga chadema..
Inadaiwa kapewa bilioni 100 na Abdul, chadema lichunguzeni suala hili vema.
Haki anayo. Lkn tuna hofu yasije yakatokea kama ya Msigwa baada ya uchaguzi.Kwanini kugombea iwe kesi, Je hana haki?
Kuna hasara yoyote aliyosababisha Msigwa zaidi ya kudhalilika yeye binafsi?Haki anayo. Lkn tuna hofu yasije yakatokea kama ya Msigwa baada ya uchaguzi.
Hakuna hasara, isipokuwa alileta taharuki tu.Kuna hasara yoyote aliyosababisha Msigwa zaidi ya kudhalilika yeye binafsi?
Evelyn Salt umeiona avatar ya mkuu unavoidable lakini... naamini you will be interested ๐๐๐๐๐๐๐๐๐Tangu upo bikra Cuf mwenyekiti ni Lipumba mbona mpo kimya hamuhoji?