Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Unaijuwa Billion 100? huyo Abdul atowe wapi pesa hiyo na kwa maslahi gani?Kuna harufu kali na mbaya ya Wenje kununuliwa na kutumiwa kuivuruga chadema..
Inadaiwa kapewa bilioni 100 na Abdul, chadema lichunguzeni suala hili vema.