Pre GE2025 Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili ndogo kabisa hii imetumika kumjaribu Lissu...

Kwahiyo Mbowe anachokonoa ili ajue Lissu atagombea nafasi gani!
Huyu ndio Mbowe mazee,lissu anaendeshwa na mzee wa form four ?πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Hichi chama kinahitaji wanaharakati, Mbowe na siasa zake za maridhiano zinakirudisha chama nyuma,
Lissu Mwenyekiti
Heche makamo
Lema mwenezi

We are ready to go🀟🀟
Lissu na Heche hawana asili ya kaskazini mkuu,si unaona mnyika ni katibu kwa kuwa tu mama yake katoka kaskazini ?
 
Nkurunzinza Mbowe hataki aguswe anazungusha panga mtu asisogelee kiti chake
 
Kama namuona Tundu Lissu akisakata mziki baada ya Rais wa TLS mpya kutangazwa mshindi.. Kumbe nafasi yake inanyemelewa.
 
Hichi chama kinahitaji wanaharakati, Mbowe na siasa zake za maridhiano zinakirudisha chama nyuma,
Lissu Mwenyekiti
Heche makamo
Lema mwenezi

We are ready to go🀟🀟
Katiba ya Chadema kuna cheo cha mwenezi?
 
Huyo ashapewa pesa na Abdul soon anahama Chama! Save the post
 
Mimi sipendi watu wanaotamani vyeo vingi.

Sasa Mwenyekiti wa kanda ni yeye, halafu anataka umakamu mwenyekiti Taifa na kama haitoshi pia ametangaza rasmi kugombea Ubunge Nyamagana 2025.
 
Mimi sipendi watu wanaotamani vyeo vingi.

Sasa Mwenyekiti wa kanda ni yeye, halafu anataka umakamu mwenyekiti Taifa na kama haitoshi pia ametangaza rasmi kugombea Ubunge Nyamagana 2025.
Ngoja tuone anachotaka
 
Kuna harufu kali na mbaya ya Wenje kununuliwa na kutumiwa kuivuruga chadema..

Inadaiwa kapewa bilioni 100 na Abdul, chadema lichunguzeni suala hili vema.
 
Kuna harufu kali na mbaya ya Wenje kununuliwa na kutumiwa kuivuruga chadema..

Inadaiwa kapewa bilioni 100 na Abdul, chadema lichunguzeni suala hili vema.
Kwanini kugombea iwe kesi, Je hana haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…