Pre GE2025 Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
General WENJE EZEKIEL DIBOGO MTOTO WA MAMA NTILIE chama kipo na WEWE
 
Mimi sipendi watu wanaotamani vyeo vingi.

Sasa Mwenyekiti wa kanda ni yeye, halafu anataka umakamu mwenyekiti Taifa na kama haitoshi pia ametangaza rasmi kugombea Ubunge Nyamagana 2025.
Aende Rorya, Nyamagana amuachie Pambalu
 
Bilioni 100 ni nyingi Sana kumpa Wenje. Ila Wenje kapewa cheo Cha Kanda bado hajarifhika. Akiondoka ndio atapotea kabisa kama msigwa alivyopoteza mazima.
 
Bilioni 100 ni nyingi Sana kumpa Wenje. Ila Wenje kapewa cheo Cha Kanda bado hajarifhika. Akiondoka ndio atapotea kabisa kama msigwa alivyopoteza mazima.
Hivi jamani kwanini mnazuia watu kugombea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…