Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
"Lissu alitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti, lakini nilipotangaza kugombea, akaogopa na kunikimbia. Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba, akishindwa na mimi kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, atadhalilika sana. Hivyo, akaamua kwenda kugombea na Mbowe ili hata akishindwa, ionekane ameshindwa na Mwenyekiti."