minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wenje ni mzigo kwa chamaWapinzani kuchukua nchi bado sana.
Labda itokee kusambaratika kwa CCM lakini si kwa hivi vyama ZILIPENDWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenje ni mzigo kwa chamaWapinzani kuchukua nchi bado sana.
Labda itokee kusambaratika kwa CCM lakini si kwa hivi vyama ZILIPENDWA.
Wenje ni kajitu ka hovyo sana, Mbowe kabugi kuokota Wenje waje kufanya nalo kazi , lakini mbowe anapenda watu wajinga jinga ili iwe rahisi kuwaburuza kiwepesi na kuiba pesa za chama bila keleleHilo lijamaa linazidi kuonesha ni kiasi gani kichwani kwake kumejaa matope kila kukicha linazidi kujivua nguo tuu
Rushwa haishindwiWenje hajitambui nitashangaa akichaguliwa ila chadema 😄😄
Ushindani una raha yake broo. Tunavihitaji hivi vyama kuleta amsha amsha na maendeleo. Tatizo tuna vyama vya mfukoni.Tumechoshwa na ujinga wa hawa MAVICHAA YA CHADEMA.
Hapo yanajifanya yanatetea watanganyika kumbe njaa tupu.
Naagiza hii SACCOS YA MBOWE ifutwe mara moja.
Kumwamini mtu aliyetuhumiwa kula rushwa inataka kuwa na Imani ya kichaa tu. Kama Lissu ndiye angetuhumiwa kula rushwa asingepata supporters hata kidogoWakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
"Lissu alitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti, lakini nilipotangaza kugombea, akaogopa na kunikimbia. Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba, akishindwa na mimi kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, atadhalilika sana. Hivyo, akaamua kwenda kugombea na Mbowe ili hata akishindwa, ionekane ameshindwa na Mwenyekiti."
View attachment 3196995
Wenje ni mjaluo wa Rorya aliyeishi Mwanza.Wenje ni mshamba sasa hapo ukichanganya na usukumer ndo inakua package Moja complete sana...
Asitoe kwenye mstari, Lissu aliamua kupambana na aliyekutuma, wewe pambana na Heche.Wakuu
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma
"Lissu alitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti, lakini nilipotangaza kugombea, akaogopa na kunikimbia. Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba, akishindwa na mimi kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, atadhalilika sana. Hivyo, akaamua kwenda kugombea na Mbowe ili hata akishindwa, ionekane ameshindwa na Mwenyekiti."
View attachment 3196995
Matusi ya waziwazi ya nini sasa??Ni matapeli promax, ila makengeza amezidi.
well said brooIkiwa umechoka na hizi siasa za CHADEMA basi itakuwa huelewi huu uchaguzi una umuhimu gani kwenye siasa za Tanzania. Na kama huelewe, basi upo kwenye wrong platform ya jukwaa la siasa