Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
"Lissu alitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti, lakini nilipotangaza kugombea, akaogopa na kunikimbia. Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba, akishindwa na mimi kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, atadhalilika sana. Hivyo, akaamua kwenda kugombea na Mbowe ili hata akishindwa, ionekane ameshindwa na Mwenyekiti."
Wenje, mbowe, heche na lissu wote walinunuliwa na lowasa 2015. Labda kinachowatofautisha ni bei zao tu, lakini wote ni bidhaa zinazonunulika. Huo ndio ukweli mchungu.
Ikiwa umechoka na hizi siasa za CHADEMA basi itakuwa huelewi huu uchaguzi una umuhimu gani kwenye siasa za Tanzania. Na kama huelewe, basi upo kwenye wrong platform ya jukwaa la siasa
Wenje, mbowe, heche na lissu wote walinunuliwa na lowasa 2015. Labda kinachowatofautisha ni bei zao tu, lakini wote ni bidhaa zinazonunulika. Huo ndio ukweli mchungu.
Collective responsibility mkuu, Mbowe alishakula hela hakuna namna. Hata Mnyika alisusa kabisa ila bado alimfanyia kampeni, ni majuzi tu hapa ndio alisema ilimuumiza sana.
Collective responsibility mkuu, Mbowe alishakula hela hakuna namna. Hata Mnyika alisusa kabisa ila bado alimfanyia kampeni, ni majuzi tu hapa ndio alisema ilimuumiza sana.
We jamaa bana zamani ulikuwa CHADEMA Kindakindaki ukakimbia 2015 alivyopokelewa Lowassa naona Sasa umerudi. BTW mwenzio Gagurito hakuondoka ila amepotelea wapi?
Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo;
"Lissu alitangaza kugombea Umakamu Mwenyekiti, lakini nilipotangaza kugombea, akaogopa na kunikimbia. Taarifa tulizonazo zinaonyesha kwamba, akishindwa na mimi kwenye nafasi ya Umakamu Mwenyekiti, atadhalilika sana. Hivyo, akaamua kwenda kugombea na Mbowe ili hata akishindwa, ionekane ameshindwa na Mwenyekiti." View attachment 3196995
Wenje huenda ndiyo mtu mjinga zezeta mbumbu kupata kutokea upinzani Tanzania, ebu pata picha mbowe mzee division 0 mzee wa masimango na wenje Dalali mbumbu washike uongozi mpya, chama kitakuwa cha aina gani? Yaani mazezeta mawili yaongoze chadema si itakuwa balaa