Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Baada ya kupita Mkutano Mkuu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Victoria Ezekia Wenje amekuwa sio wa kuonekana kwenye matukio ya chama jambo ambalo lilileta maswali mengi mtandaoni na vijiwe vya kisiasa kila mmoja akisema lake.
Hatimae jana Machi 11, 2025 kwenye kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho Wenje ameonekana hii ni kudhihirisha 'Wenje Yumo