Lakini bado unaelewa na kujibu, hayo si maajabu na kweli?kuwa unataka utafuniwe kila kitu kwa sababu mara nyingi majibu na maswali yako haya make sense
Inaonekana hujui maana ya hayo maneno ya "utafuniwe kila kitu". Mtu anayejaza maneno kueleza jambo rahisi kama unavyo fanya wewe; bila ya kuombwa ufafanue kwa kirefu, huoni unajihisi kuwa huwezi kueleza jambo kirahisi likaeleweka; na badala yako unaweka juhudi "kutafuna" bila ya sababu kama unavyo dai mwenyewe?
Ni wapi nilipo omba "unitafunie kila kitu" hadi utumie maandishi mengi kiasi hicho!