Dolari za Abdul ndiyo zilimtoa ufahamuHuyu ni mzalendo! Anakipenda Chama chake.
Nadhani ni kumsamehe tu! Siasa za nchi hii ni ngumu.Dolari za Abdul ndiyo zilimtoa ufahamu
Kwanini zole tuhuma zisifanyiwe uchunguzi?.Dolari za Abdul ndiyo zilimtoa ufahamu
Itakuwa vyema maana aliyetoa tuhuma hizo alisema mwenye ushahidi ameishafariki. Ila kwa sababu alisema pia kuna video za kikao cha Kamati Kuu kilichozungumzia sula hilo, huu ni wakati muafaka wa kuiweka wazi.Ni kweli ila kwa zile TUHUMA zake,kamati kuu imuamuru Makamo Mwenyekiti afanye uchunguzi ili sheria na taratibu za kichama na hata kijinai zifuate mkondo wake, kwake ikithibitika or kwa wale watakaothibitika walizusha
Au aliwaletea mgao wa Abduli?Huyu ni mzalendo! Anakipenda Chama chake.
Dolari za Abdul ndiyo zilimtoa ufahamu
Huyu ni wa kupiga chini tu.Huyo katumwa na hao maboss wake aendelee kufanya surveillance ndani ya vikao vya CDM, Ni lini na wapi uliona Malaya akaacha au akastaafu kazi yake pendwa?
Snitch ktk ubora wakeKirusi
"Wenje yumo", kupambana na "udikteta uchwara" kama alivyo tangaza mwenyewe?Wenje ameonekana hii ni kudhihirisha 'Wenje Yumo
Hizi ndizo ajenda muhimu mnazotaka CHADEMA izipe kipaumbele wakati huu, ili wafadhili wenu Oktoba wasitokwe jasho!Itakuwa vyema maana aliyetoa tuhuma hizo alisema mwenye ushahidi ameishafariki. Ila kwa sababu alisema pia kuna video za kikao cha Kamati Kuu kilichozungumzia sula hilo, huu ni wakati muafaka wa kuiweka wazi.
Amandla....