Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

Viongozi wetu wanatenda mambo ya kuudhu sana.
 
Mwizi hawezi kutupangia namna ya kumkemea iwe kwa kumfokea, kumtupia mawe au vyovyote iwavyo ili mradi ujumbe ufike kwamba tunakataa wizi.
 
Ezekiel kimwaga...dah jamaa ni next level kabisa..... waandishi wa Aina hii Tanzania sasa hawafiki hata kumi
Jamaa ukimsoma ana fikra tunduizi, ni waandishi wachache sana hasa kwa kizazi hiki kipya cha waandishi wa habari.Kina Jenerali Ulimwengu walimpika vyema!!!!!! Ukisoma unaona utulivu na siyo papara na mhemko!!!!!!!
 
Kamwaga lugha ya ukali sio kwa kuangalia mtu! Bali matendo! JPM alitukanwa matusi ya nguoni akiwa kwenye jeneza, amekebehiwa na viongozi hadharani alafu unaandika article ndefu isiyo na mantiki.
 
Ila hawa jamaa! Naamin hakuna raia wa kumfokea Rais, bali kwa wanaccm kitendo cha kukosoa huonekan ni kumkosea heshima au kumfokea Rais

Hawa jamaa wa CCM na ma chawa wana kamusi maalum ya kiCCM ya kiswahili ambayo haitambuliwi na TUKI (leo: TATAKI) kwenye chuo kikuu cha Dar UDSM wala waTanzania wanaojua kuandika, kusoma na kuhesabu. CCM wana kamusi yao ya kipekee.

Madikteta wana aina ya lugha wanayoibuni isiyo tumika na wananchi mitaani, mashuleni au vyuo. Lugha tata ya watawala ni kiashiria cha udikteta usiotaka kukosolewa .
 
Ila hawa jamaa! Naamin hakuna raia wa kumfokea Rais, bali kwa wanaccm kitendo cha kukosoa huonekan ni kumkosea heshima au kumfokea Rais
Ndugu tuwe wakweli,katika ujenzi wa hoja hamna nasafi ya kufokeana wala kuzarau mtu. Nshala anaweza kua na hoja nzuri lakini ameshindwa kutumia usomi wake tena wa sheria kuonyesha kua yeye ni msomi,mwelevu na mtu mzima. Kumkejeri Rais au Bunge akukufanyi wewe mshindi au mjuaji sana.
 
Kamwanga wakati washkaji zako wanamtukana JPM hadi kutukana maiti umewahi kulalamika walau kwa kunongona?

Ndio tujue hii nchi uzalendo ni tumbo lako tu. Ukiwa unakula unageuka zuzu.

Magufuli aliwakataa yeye na mshkaj wake wa Kgm.

Kamwaga Umri umeenda sasa anatafuta a real job... kuandikia magazeti hakulipi....

Huoni anajiandikia usomi uchwara kwenye vyuo vya London.

Massaging the rulling class has never been easy....
 
Sawa kada wa CCM tumekusikia.
 
Ni wakili msomi mpumbavu tu au "profesa mpumbavu tu kama Shivji anaejiingiza kwenye siasa majitaka za majukwaani.
 
Magufuli aliwakataa yeye na mshkaj wake wa Kgm.

Kamwaga Umri umeenda sasa anatafuta a real job... kuandikia magazeti hakulipi....

Huoni anajiandikia usomi uchwara kwenye vyuo vya London.

Massaging the rulling class has never been easy....
Hiki kizazi kuna kazi kubwa sana.
 
Naomba uweke hapa jamvini hizo kejeli!! Plz weka hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…