Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

Kigogo yule mbona angekoma kwa Edo, ashukuru Edo aliukosa uraisi na bahati mbaya zaidi anaumwa, kigogo yule ndie mwenye remote, anabadili channel za runinga yetu kwa raha zake na timu yake. Ama kweli Mungu fundi!
 
..tusipindishe pindishe.

..madudu yaliyoko kwenye mkataba wa Tanzania na Dubai ndio yaliyosababishwa watu wazungumze kwa lugha kali, au maneno magumu.

..Rais amepoteza heshima yake kwa kuonekana hajali na hana uchungu na rasilimali za nchi yetu.
Mwenyewe Nshala amekiri kuwa ametumia maneno makali, ameshindwa tu kumalizia kuwa ametukana.
 
Mwenyewe Nshala amekiri kuwa ametumia maneno makali, ameshindwa tu kumalizia kuwa ametukana.

..Dr.Nshala ni mtu muungwana.

..serikali nao wawe wazalendo na waungwana kwa kukiri kwamba wameingia mkataba mbaya na Dubai.
 
Du.....Kimwaga bwana!.... nimecheka hadi machozi na kikohozi juu. 😂
 
Back
Top Bottom