Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

✔️
 
EZEKIEL 👍
 
Kwamba rais ni MUNGU?
 
Naomba uweke hapa jamvini hizo kejeli!! Plz weka hapa
Najiheshimu sana mkuu siwezi kuweka au kupost vitu vya hivyo. Labda,mfano hivi unawezeje kumuita Spika wa Bunge kua huyo ni mtoto..
Huyu Dk.Shala anafikiri yeye alijifunza mwenyewe au alifundishwa na watu?
 
Anachokifanya Tulia Acksoni ni sawa kwa macho yako?Tumia milango yako ya fahamu vizuri kufikiri.
 
Kamwaga ni mwehu!

Kwamba Magufuli kutukanwa ilikuwa sahihi sababu dawa ya moto ni moto ila huyu hapana sababu anazungumza kwa uungwana.

Kuita watu stupid nao ni uungwana bwana Kamwaga.

Kama kwako Samia ni muungwana basi kwa wengine wana maoni tofauti.
 
Ezekekiel anataka kusahau wanaobadilisha hali ya mambo sio watawala. Kawaida ni watawaliwa.
Wakichoka kuona wanayoyaona, pengine ni mazuri au mabaya. Mfano nashangaa kwanini Libya walimuua Ghafafi? Au Hosni Mubarak kwanini alikataliwa na wanajeshi wake baada ya maandamano makubwa.
Uadilifu ndio silaha pekee. Mazoea yana kikomo chake kama watu watachoka
 
Wewe ndio usitufokee
Huyo mnayentetea ni haki ya wananchi kumkosoa
Tuondokee upupu wako humu
Acha kutufokea alah
 
Anachokifanya Tulia Acksoni ni sawa kwa macho yako?Tumia milango yako ya fahamu vizuri kufikiri.
Kipi kibaya ukiondoa hisia na ushabiki wa kisiasa. Tatizo nikua bado atujawa na uvumilivu sahihi wa kisiasa bado tupo kwenye mhemko wa kisiasa na kifkra basi. Itoshe kusema kua tusifikiri sana kua tunacho kiwaza na kuamini ndicho sahihi kuliko wale wanao fikri tofauti na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…