Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

Hapo kalenga aonwe kwa hela au teuzi. Jamani hatuwezi kukaa kimya Kiongozi yoyote anapovurunda. Nyie endeleeni kuendekeza matumbo yenu kupitia teuzi na hela.
 
Hakuna sababu ya kuingiwa na hofu, hakuna kinachoandikwa na binadamu kwa mfumo wa mkataba halafu kisikose njia za kutokea.

Hiyo hiyo IGA inacho kipengele cha serikali kuutaifisha mkataba wote iwapo itakuwepo sababu ya kufanya hivyo.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya kumfokea mtu na kumwambia ukweli.
 
Hakuna sababu ya kuingiwa na hofu, hakuna kinachoandikwa na binadamu kwa mfumo wa mkataba halafu kisikose njia za kutokea.

Hiyo hiyo IGA inacho kipengele cha serikali kuutaifisha mkataba wote iwapo itakuwepo sababu ya kufanya hivyo.

..tuna HISTORIA ya kuumizwa ktk mikataba na wawekezaji.

..tatizo la huu mkataba ni kwamba unatisha na kukatisha tamaa hata ktk hatua za awali.
 
Nimejitahidi kusoma mpaka mwisho, a nimeona unamzungumzia Nshala mwanzo mwisho, nini msimamo na ushauri wako juu ya mkata wa DP WORLD kuhusu Bandari zetu pendwa za Bahari na Maziwa.
 
Muandishi kaandika andiko reeefu lakini utopolo tupu mwanzo mwisho.
Najuta kwann nimepoteza muda wangu kulisoma.

Kabisa, ni hekaya za abunuasi na kufanya reference nyingi ambazo anatuaminishi ndio anajenga hoja!
 
Huyu Rugemeleza ni mhuni na hana adabu, hawezi kumwambia mama yake maneno kama hayo, huyu anatakiwa atiwe adabu.πŸͺ“β›οΈβš’οΈπŸ—‘πŸ”«πŸ”«πŸš‘
Wakati wa Magufuli hawa wanasheria walikaa kimya, waliufyata yaani mkia ulirudi tumboni kama mbwa muoga leo hii wamepewa uhuru wanashindwa kuweka mipaka katika maongezi yao.

Mfumo ukimshukia watakaosumbuka ni mke na watoto watakaokuwa wakilia mbele ya kamera kila siku.

Rais wa TZ ana mamlaka makubwa sana, lazima tumheshimu Rais Samia anayeamua kuachia demokrasia ikashamiri.
 
Huna sikubaliani kabisa na hiii kasumba ya kuwapa u Mungu mtu viongozi walio pitia mlango wa kuchaguliwa au kuteuliwa.

Mungu muumba vyoteee, bado tunao wanao mbezaa, leo hiii binadamu ishindikane?.

Kwasababu Eze yuko kazini, acha apiganie mkate wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…