Ezekiel Kamwaga ni mtalaam, apewe mkataba

Ezekiel Kamwaga ni mtalaam, apewe mkataba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
EAZY E.jpg




Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu.

Anaeleza issues na vipengele kwa kina katika mipaka yake ya usemaji. Hata kwenye page yake ya Insta mashabiki tunapata facts zilizonyoshwa na rula saaafi kabisa. Porojo tupa kule.

Kwa sababu Simba Sc imechagua kwenda kimataifa Level za Al Ahl, Mamelod nk. Huyu ndio msemaji sahihi katika safari hiyo.

Katika clip hiyo jamaa mmoja amewapa tahadhari Simba kwamba watu walioomba nafasi ya usemaji wanaonekana kuwa watu wa mapovu kama ya Mr.Buga (sio Bugatti, Bugatti hawezi kuishi kwa majungu, vijembe na umbea). Naushauri uongozi wa Simba umbakishe huyu mtu kwa mkataba wa kisoma.
 
Sijapata kufatilia hiki kichwa kwa makini kabisa,kwa taarifa hii naanza rasmi kumfatatilia msemaji mpya wa mabigwa wa nchi bwana Ezeckiel Kamwaga.
 
Tatizo ni kukiachia Kitambi,
Mwanaume mhangaikaji unaruhusuje kuwa na Kitambi ?
 
Simba na yanga haitaki hizo mambo.

Ndio maana Azam ni ya tatu
 
Back
Top Bottom