Ezekiel Kamwaga: Samia Suluhu anampenda sana Tundu Lissu

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

Mwanahabari mwandamizi na mchambuzi wa siasa za bara la Afrika, Ezekiel Kamwaga, amesema Watanzania mara nyingi husahau matukio muhimu yanayojiri nchini mwao kiasi cha kushindwa kuthamini na kuheshimu matendo mema ya baadhi ya viongozi na wananchi wenzao.

Akizungumza jijini Dar es Salaam katika mdahalo wa kiuchumi ulioandaliwa na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC) na kuhudhuriwa na wachambuzi wa masuala ya uchumi, Kamwaga amesema tabia hiyo imekuwa ikidhihirika hata katika matukio makubwa ya kitaifa.

Akitoa mfano, Kamwaga alirejelea tukio la mwaka 2017 ambapo mwanasiasa Tundu Lissu alipigwa risasi na kujeruhiwa vibaya. Amesema wakati huo kulikuwa na viongozi waliokwenda Nairobi kumjulia hali Lissu alipokuwa akipokea matibabu, akiwemo aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania ambaye sasa ndiye Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye aliruhusu picha ichukuliwe licha ya kuwepo mashaka kutoka kwa baadhi ya watu. Hata hivyo amedai pamoja na yote aliyofanya Dkt. Samia kwa Lissu bado kuna watu wanasema kwamba hampendi Lissu. Si kweli, Rais Samia anampenda sana Tundu Lissu🤔🤔🤔


Amesisitiza kuwa ili taifa lisonge mbele, ni muhimu Watanzania wakajenga tabia ya kuheshimu na kukumbuka mambo mazuri yaliyofanywa na viongozi na wananchi, badala ya kusahau au kuyapuuza.

Huyu ndiye Ezekiel Kamwaga. Bila shaka anaitafuta nafasi ya Gerson Msigwa pale magogoni. Ataliweza timbwili lake kweli huyu..?
 
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕🖕
 
Kamwaga ni CHAWA mchafu anayekaa kwenye vuzi la kundule.
Shenzi kabisa, usitupandishe hasira kwa kutaka sifa za kijinga
 
Kuna connection gani kati ya tukio la 2017 na mada ya uchumi iliyowapeleka, huyu kwangu mimi sioni kama anazo sifa/ethics za kuendelea kuwa mwandishi wa habari na mchambuzi, huyu kuna nafasi namtafutia lkn hana sifa za kuwa mwandishi wa habari
 
Mbona Kamwaga ana sura kama ya Zinjanthropus?
 
Punguzeni chuki vijana ndio mtaelewa kilichoongelewa RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ajawai kuwa dhaifu tangu ni Makam Rais !!!

viongozi wote wa ndani ya Serikali wameogopa kwenda Nairobi kumuona Lisu lkn Rais Samia alikwenda.
Akuogopa kitu.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ni mpango wa Mungu kuliponya Taifa..October tunatiki ✅️
 

Lisu anaingiaje kwenye hii midahalo ya hovyo?
 
So!!?
 
Juyu huenda hilo jina la 'Kamwaga', linamaanisha alishamwaga akili, hivyo kabakia mtupu. Maana ni dhahiri hajui hata maana ya upendo!!
 
Oktoba watatiki wajinga!
 
Mwanaume unakua na umbo kama la kitimoto halafu unatarajia aongee point? He is stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…