Demokrasia sio kupasuana na kupakana matope yasiyo na ushahidi hakikika wowoteNapenda namna CDM wanavyopasuana, its good for democracy. CCM hawawezi hivi hata kidogo, labda kuwekeana šūmû na kumalizana kimya kimya.
Kwa vile ilibidi aongee na yeye, basi tu ameongea, lakini hakuna hoja ya msingi inayoweza kumshawishi mtu kuamini maneno yake. Nadhani moyoni anajuta kwanini alijichanganya kwa Mwamba.Wakuu
Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, ambaye pia ni Mtia Nia wa Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Ezekiel Wenje, anazungumza muda huu na Waandishi wa Habari.
Aliyoyazungumza Ezekiel Wenje
"Marafiki zangu wote, Lissu, Lema, Heche, wote wamekiri kwa nyakati tofauti kwamba mimi nilikuwa timu Lissu. Hata leo nimemsikia Tundu Lissu akiwa Clouds akisema, 'Nilipoona watu wameanza kushughulikiwa, mimi nikapiga u-turn (360) nikakimbia.' Nimemsikia akisema, 'Sasa na uongo umekuwa mwingi sana."
"Nianze kwa kusema hivi, ni kweli mimi nilikuwa timu Tundu Lissu na kwanini nilitoka, mnakumbuka mimi nilikimbia nchi, Lema alikimbia nchi na hata Lissu alikimbia nchi, experience ya kukimbia nchi yako sio kitu kidogo kwamba unaenda kwenye nchi ambayo hujuia mila na destuli zao, una ancha ndugu na na marafiki zako, sio experience ndogo"
"Sasa tukiwa huko mambo yakaenda mengi mpaka Mwenyekiti Freeman Mbowe akakamatwa na kwenda gerezani, Mwenyekiti akiwa gerezani mwaka 2022, akiwa gerezani marafiki zangu hawa wakashauriana waanzishe kitu kinaitwa Join the Chain na Mwenyekiti aliyeasisi hiyo movement ni rafiki yangu Godbless Lema na Join the Chain lengo lake ilikuwa ikusanywe fedha liitishwe Baraza Kuu, na mwisho wake Mkutano Mkuu lengo kubwa la vikao tulivyofanya kwasababu waliamini kabisa kwamba Freeman Mbowe ana kesi ya Ugaidi, waliamini kabisa kwamba Mbowe hawezi kutoka gerezani"
"Ikaitishwa movement 'Join the Chain', ambayo Godbless Lema alikuwa Mwenyekiti ili waende wafanye mapinduzi kwenye chama, Tundu Lissu awe mwenyekiti wa Chama, Mchungaji Peter Msigwa awe Makamu. Miliposhirikishwa mambo kama haya mimi nilikataa uasi, na hiyo ndio chanzo cha mimi kujiondoa kwenye hiyo timu Lissu."
Soma, Pia:
- Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
- Ezekiel Wenje: Peter Msigwa na Lissu walipanga kufanya mapinduzi kipindi Mbowe yuko gerezani. Mimi nilikataa kuwa muasi
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Lissu ndiye mwenyekiti mpya wa CHADEMA. UTAUMIA SANA.Safi sana ,waroho wa madaraka lazima wachanwe ,mapinduzi ndani ya chama hayakubaliki...Lema/Lissu/Msigwa wangefuata utaratibu wa kugombea na si mikakati kama ya Zitto na Kitila.
Mapinduzi au utaratibu.Safi sana ,waroho wa madaraka lazima wachanwe ,mapinduzi ndani ya chama hayakubaliki...Lema/Lissu/Msigwa wangefuata utaratibu wa kugombea na si mikakati kama ya Zitto na Kitila.
Kwahiyo mtoto wa Rais haruhusiwi kuwa na marafiki?Toka wenje akiri rasmi ni rafiki wa mtoto wa rais simuamini kamwe, maneno mengi ni ya kutungwa
Makamu mwenyekiti kazi yake ni nini? Au ndio alikimbilia Ubeligiji?Sasa kama mtu (mwenyekiti) yupo gerezani, si lazima ateuliwe mwingine ashike nafasi ya UENYEKITI?
Chama kingebaki bila mwenyekiti hadi lini?
Kwani katiba yao inasemaje??
Katunga na kitabu cha Dr Slaa?Ambacho Dr Slaa anamuona Lissu kama mtu baki,mwongo,mnafiki,kiserela?Kasome kitabu hicho kwanza ndio mlete upupu hapa.Hata anavyoongea unaona kabisa ni mtunga maneno.
Chadema true color identity exposed.Chadema wameamua kuteka media na wameweza.
Nadhani ni mambo ya maslahi. Kuna mabwanyenye flani hivi ambao maslahi yao yataathirika pakubwa kama wataachia madarakaHivi kuna tofauti itatokea kwenye chama endapo Lissu atashika madaraka?
Labda kama umemjua Juzi 😂Kitendo cha Lema kutangaza kutogombea means ana fungu kutoka nje ambalo linamtosholeza kuishi.
Mke wake alisharudi ughaibuniKitendo cha Lema kutangaza kutogombea means ana fungu kutoka nje ambalo linamtosholeza kuishi.