Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.

Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo

DAAAA YAAANI CHADEMA ILIKUWA IMEJAA MIJIZI MITUPU SASAHIVI NDIYO INAANZA KUTAJANA MOJA MMOJA SASA WAKISHIKA NCHI INAKUWAJE LAKINI CHADEMA NAO HIVI KAZI YA LEMA TOKA ZAMANINI MWIZI MNAENDA KUMKABIDHI KAPU LA HELA KWELI? ARE THEY SERIOUS?
 
IMG-20250116-WA0060.jpg

MHE DIBOGO,

KWANI PESA ZILIKUWA ZINAKWENDA KWA MWENYEKITI?

PESA ZA JOIN THE CHAIN SIALIZICHUKUA REGGY NA MBOWE
 
Wakuu,

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.

Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo

View attachment 3203416

Upinzani ni matapeli tu, sasa tu angalia Tapeli wenye afadhali, Lisu, na wenje!
 
Wakuu,

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.

Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo

View attachment 3203416
Unaona hapo?? Project ya Serikali hiyo kama Yai alivyosema. Lema hakuleta "collateral damage" ; alijaribu kuunganisha wanachama na kuacha majungu. Anayosema huyu lazima kaandikiwa na Serikali na CCM, 100%
 
Huyu a
Wakuu,

Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na maswali kuhusu wapi ilienda michango ya Wanachadema waliyoitoa kwenye kampeni ya Join The Chain.

Leo Ezekiel Wenje, amesema kuwa asihusishwe tena na fedha hizo kwani Godbless Lema ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kampeni hiyo

View attachment 3203416
Huyu angenyamaza tu abaki na heshima kidogo
 
Wanasiasa ni wasafi wakiongea,ila matendo yao ni hovyo mno,yule mwingine aliyekuwa anajifanya anamtukuza Mungu GSM asingekuwa mtoto wa mjini alikuwa ameshapigwa na kitu kizito!!.Siasa bhana usafi uko mbali mno!!?
 
Wenje amedai kuwa harakati za kukusanya fedha ambazo hadi leo hii haifahamiki kiwango chake, ambapo mchakato huo ulisimamiwa na Lema lengo kuu lilikuwa ni kumpindua Mhe. Mbowe.
Madai hayo ni mazito sana kutolewa na kiongozi mwandamizi wa chama dhidi ya viongozi wenzake.
Makamu Mwenyekiti Lisu anahusishwa kwenye uasi huo.
Kama ni kweli bali Lisu hafai kabisa kushika nafasi hiyo na anapaswa afukuzwe haraka iwezekanavyo.
 
DAAAA YAAANI CHADEMA ILIKUWA IMEJAA MIJIZI MITUPU SASAHIVI NDIYO INAANZA KUTAJANA MOJA MMOJA SASA WAKISHIKA NCHI INAKUWAJE LAKINI CHADEMA NAO HIVI KAZI YA LEMA TOKA ZAMANINI MWIZI MNAENDA KUMKABIDHI KAPU LA HELA KWELI? ARE THEY SERIOUS?
Hatari sana 😀
 
20250116_130632.jpg

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameongoza matembezi ya mguu kwa mguu katika kata ya Kunduchi kwaajili ya kukusanya fedha za uendeshaji wa chama hicho.

Machi 25, 2022 Makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, akiwa Ubelgiji alizindua kampeni ya ‘Joing The Chain’ yenye lengo la kuchangia chama hicho kwaajili ya shughuli mbalimbali ikiwemo mkutano wa baraza kuu unaotarajiwa kufanyika Aprili 25 mwaka huu.

“Kampeni hii ni kwaajili ya kuchangia chama chochote ulichonacho, ili kufanya ukombozi wa kweli wa nchi yetu, dhuluma zimezidi gharama za maisha zimekuwa kubwa sana na kipato cha wananchi kimezidi kupungua,”alisema Mbowe.

Source: Mzalendo

Soma pia:

Kwa mjibu wa Wenje hapo mpinduliwa Mbowe akiwa anakusanya pesa za kujipindua.

Wenje ni tapeli?!
 
Wenje amedai kuwa harakati za kukusanya fedha ambazo hadi leo hii haifahamiki kiwango chake, ambapo mchakato huo ulisimamiwa na Lema lengo kuu lilikuwa ni kumpindua Mhe. Mbowe.
Madai hayo ni mazito sana kutolewa na kiongozi mwandamizi wa chama dhidi ya viongozi wenzake.
Makamu Mwenyekiti Lisu anahusishwa kwenye uasi huo.
Kama ni kweli bali Lisu hafai kabisa kushika nafasi hiyo na anapaswa afukuzwe haraka iwezekanavyo.
Lisu ndiye mwenyekiti.
Kwa mazingira ya sasa, nani anamwamini Mbowe na Wenje?
Abdul alishamalizana nao
 
Back
Top Bottom